@nerela_._: Jana nilipost kwenye story yangu kuhusu hiki chakula, nikasema kilikuwa kitamu sana na sijawahi kukiona sehemu yoyote. Nilikuwa najibunia tu mambo na kujaribu vitu tofauti, and somehow ended up coming up with this recipe 🤣 Hatari! But I did mention kwamba nikikipost na kama kuna mtu anajua labda ni chakula cha sehemu fulani na mimi sikujua, wanijulishe 😂 because wow, this is slowly taking over my love for steak and mash 🤣😭 Maelekezo Chemsha nyama yako. Mimi huwa nikininunua nyama, naiwekea viungo na kuiweka kwenye freezer ili iwe rahisi kuitumia baadaye. Kama unahitaji kujifunza hiyo prep, video ipo chini. Usipoiona, DM me and I’ll share it with you. Ichemshе nyama na hakikisha imeiva kabisa na kuwa laini. Nyama ikishaiva, kwenye sufuria hiyo hiyo weka vitunguu na ongeza mafuta. Hayo mafuta utakuja kuyatumia kwenye tambi, kama utakavyoona kwenye video. Kisha weka hoho zako na nusu ya nyanya. Usitie nyanya nzima, wala usitumie nyanya iliyoiva sana. Hapa ni kama unatengeneza makange. Wala usitumie nyanya ya kopo. Changanya vizuri ziiviane, kisha weka yaggi powder. Kama huna, weka pilipili ya unga unayoimudu pamoja na paprika. Changanya, halafu tia vijiko viwili vya mayonnaise au angalia kulingana na wingi wa nyama uliyonayo. Mimi nimetumia tambi ndefu, ila nadhani zile tambi nyembamba ndogo zitafaa zaidi. Kama utatumia ndefu kama mimi, zikate-kate ziwe ndogo. Kama una nguvu, kata ndogo zaidi ya nilivyofanya 😂 Kwenye sufuria, chukua mafuta kutoka kwenye ile nyama, kisha tia tambi zako. Weka viungo unavyopendelea; mimi nimeweka Nihari masala na chilli flakes. Tia maji kidogo sana, ili ziive kwa mvuke. Au kama una kile chombo cha kuivishia kwa mvuke, itafaa zaidi. USIZICHEMSHE NA MAJI MENGI. Zitavimba na hutapata muonekano kama huu. Funika ziive kwa mvuke, usikae mbali na jiko 😂 na usisahau kuweka chumvi kiasi. Chakula chako kipo tayari! Serve kwa kuweka tambi chini na nyama juu. Enjoy! Hutojutia 🤭 #spaghetti #beef
Warda🌸
Region: AE
Saturday 05 September 2026 11:24:44 GMT
Music
Download
Comments
I love Waleed :
No warda you never breaking the spaghetti🤌.
2026-09-07 11:58:57
1
yumiko❤💎🏅 :
warda you are breaking the saphagetti 😂
2026-09-06 11:46:00
16
mofdymomoh :
mwanamke ni pambo wallah 🙌
2026-09-05 12:21:22
58
acquila🌸 :
I love your sense of fashion 🥰
2026-09-05 11:44:50
85
comment no... :
Comment no 97
2026-09-07 13:45:48
0
prettygirl :
my favorate meal since I was kid 🥰🥰🥰🥰
2026-09-07 10:57:17
0
Tekashi :
how many comments deleted 😅
2026-09-06 13:33:24
2
mariammtale :
2026-09-08 10:32:58
1
Sarlucky 🦋❤️ :
MashaAllah warda wajua kupika❤️❤️❤️
2026-09-05 11:33:51
5
Kevin Kimario :
hello there young ladyyy
2026-09-07 03:44:47
0
iyyah :
Chakula cha waafrika magharibi icho jina silikumbuki kwa lugha Yao Ila nlikua nkiwaona wakipika kma ivo kipindi nasoma nje tena ni tamu hizo Ila wao walikua wakipikia sana kwa kuku au samaki na sku nyengine badala ya macaroni wanapika mchele
2026-09-06 07:36:25
1
Empress 🤍 :
ww ni mtanzania
2026-09-07 20:02:30
1
Babu Kirgit :
Malika mwenyewe anapenda
2026-09-07 15:09:07
1
The Diplomat :
Mungu mama wa watoto huyu hapa ...fanya jambo baba 😊
2026-09-06 12:21:43
5
Precy🥰 :
Mimi nipo na hio taarabu 😂😂
2026-09-07 16:32:27
1
Mundhir Salum :
mashaallah mwanamke mzurii alafu anajua kupika mashaallah ❤️
2026-09-07 08:57:26
1
Melanin🦚_S22❤️🫂 :
Naomba kuona iyo style ya nguo
2026-09-05 12:58:29
3
Dullah Mjesh :
Mashaallah
2026-09-08 09:33:39
1
el_muuh :
ila mpish 🔥
2026-09-08 16:51:49
0
To see more videos from user @nerela_._, please go to the Tikwm
homepage.