@mary32a8:

الشيخه🦋🦌
الشيخه🦋🦌
Open In TikTok:
Region: SA
Saturday 05 September 2026 18:01:56 GMT
775
37
1
7

Music

Download

Comments

dydkyqt0ezyi
ابونفاع الرشيدي :
كيك وعسل لاكن ما هو في صحون ودعاك من عين الحسود اغطالكه 🌹🌹🌹
2026-09-16 04:56:44
0
To see more videos from user @mary32a8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

HABARI: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amepiga marufuku operesheni za “kamata kamata” za vitega uchumi vinavyotumiwa na vijana kufanya shughuli za kujipatia kipato, ikiwemo baiskeli, bodaboda, bajaji na guta. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo Septemba 15, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi mkoani Simiyu, akisisitiza kuwa vijana wanapaswa kupewa nafasi ya kufanya kazi na kujiletea maendeleo. “Nimepiga marufuku kamata kamata ya vitega kazi, iwe baiskeli, bajaji, guta, bodaboda. Wacheni vijana wetu wafanye kazi,” amesema. Ameagiza kuwa baada ya kumalizika kwa ziara yake, endapo kuna baiskeli, pikipiki, bajaji, guta au magari yaliyokamatwa katika operesheni hizo, virejeshwe kwa wahusika ili waendelee na shughuli zao. Waziri Mkuu amesema Serikali inataka wananchi wajikite katika shughuli za uzalishaji na kujiletea maendeleo, huku akisisitiza umuhimu wa maafisa wa Serikali kuheshimu na kuwezesha shughuli za sekta binafsi. Amesema sekta binafsi inatarajiwa kutekeleza sehemu kubwa ya dira ya maendeleo, ikiwemo wafugaji, wakulima, wenye viwanda, mama lishe na waendesha bodaboda, ambao kwa pamoja wanachangia katika uchumi wa nchi. “Lazima kila afisa wa Serikali atengeneze mazingira ya kuwawezesha hawa watu wafanye kazi zao kwa uhuru, amani na kujiletea maendeleo,” amesema. Dkt. Mwigulu pia amewataka watendaji wanaopuuza maelekezo ya Serikali kuacha tabia hiyo, akitoa mfano wa tukio katika mkoa mmoja ambako, licha ya maelekezo yake, alipewa taarifa kuwa mgambo walikuwa wamekamata kifaa cha mama lishe. “Niliwaelekeza mkoa mmoja, kabla sijamaliza ziara nikaambiwa wamekamata kamfuta ya mama lishe. Nikasema hawa hawana adabu, wawekeeni ndani mpaka washika adabu, waone jinsi ilivyo kazi kufanya shughuli za kujiletea maendeleo,” amesema.

About