@asam.media.group: badria#AsamOnlineTV #TikTokTanzania #TrendingNow #SisiNiJamii #ViralTanzania #BreakingNews #Zanzibar #Tanzania #ForYou #Trending #Shorts #FYP

Asam Media Group
Asam Media Group
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 20:22:39 GMT
25127
965
117
387

Music

Download

Comments

user236876124630
user236876124630 :
daaaah so mchezo yaani, this is zanzibar
2026-09-06 02:49:55
0
somvli95
somvli95 :
Hii nchi tangu watu wachome chanjo ya COVID 19 haijakaa sawa
2026-09-06 02:50:48
19
kidbr33zy_p0p
Br33zy_p0p :
Zanzibar hakujawahi kufanyika kitu kikawa endelevuuu😂🙌🏽
2026-09-05 21:14:59
11
barbarosa752
SHEKS :
Tutalipia tena eee
2026-09-06 03:35:40
0
wiseman.0104
🇵🇸 :
Wizi mtupu
2026-09-05 21:17:46
4
uprising501
uprising501 :
Mimi nasubiri awamu ya nne ndio nikabadilishe namba
2026-09-06 03:43:37
3
allyjames30
Dr Pemberiae 😜 :
Kwa kwl lengo ni zuri sana kudhibiti Ajali barabaran hatukatai mtu anajitahd kurekebisha makosa yote ili anze kua salama lkn fain mlizozieka mturudisha kule kule hatuwez kuzilipa me naamin hamkua tayar kusaidia wananchi Bali mumeamua kumkomoa mana haiwezekan fain anayopigwa na misharaha ya serekal haipishani sana ss me nahic mnataka kututia usugu ili tusiweze kulipa mana uwezo wa kulipa fain izo hatuna. Naomba serekal yng eke fain ambayo mwananchi ataweza kulipa bila ya hivyo vyombo vitard kule kule havitopas bas 🙏🏼
2026-09-06 03:22:08
2
lezandrobastoni
lezandrobastoni :
Mimi jana nimesukuma ndiga speed 80 BMW tena airport hakuna ata message nimepokea...😂 camera sjui zikoje😁
2026-09-06 05:39:52
1
username02v8
Version :
Hakujawai kufanyika jambo ambalo limenyooka 😂 sjui tumerogwa na nan
2026-09-05 21:32:22
1
fardanshekh1
Fardan99 :
Nchi yangu
2026-09-05 21:39:23
1
asbah410a
Fix :
Km bure sawa 🤔🤔🤔
2026-09-05 20:53:42
1
user3502918181621
user3502918181621 :
kwani mwazo mulikuwa wapi munatudhulumu tu an Allah atawarudi
2026-09-06 03:58:53
1
user8342116113618
Omar bare :
zanzibar bhana Z 917 EP..ZEN...Z AAB 917 kuna na ya tatu ahsante mkuu...zanzibar bhana...tusubir na ya nne🤣🤣
2026-09-05 21:56:37
3
user8873974159802
rojas :
wacha twende tutafika
2026-09-05 22:47:16
0
kkhamis468gmail.com
khamiskhamis140 :
nahisi sasa licha ya kutupa Bure nakutulipa mutulipe kwa sababu ya mda wetu
2026-09-06 04:41:11
1
khamismasere
Khamis Masere :
Kwani Ata zikibaki namba za Zaman zinakua hatarini au acheni mambo ayo
2026-09-05 21:08:07
3
poazanzibartours
poazanzibartours :
Mimi nilijua tu ndio maana sijabadilisha😂😂
2026-09-05 23:51:59
1
allyjames30
Dr Pemberiae 😜 :
Mhe ningeomba swali langu nikufike. Camera zimeekwa ila ss ni binaadam ikitokea émergence labda umempakia mzaz anataka kujifungua kwl utembee speed 50 au kuna Ajali imetokea unataka kusaidia kuwahisha hospital je ufanyeje camera itaweza kutambua émergence
2026-09-06 03:30:43
4
nawwar.sultwaan
nawwar sultwaan :
vyombo vingi sana vinaibiwa sikuizi kwasaabu ya kila siku kunadilisha namba hapaeleweki yani
2026-09-05 23:31:15
1
ahmad.zahor6
Ahmad Zahor :
Muanze kushughuligari za serikali ndio nyingi zinazoweka plate number za bara na unaikuta gari ya sms juu inaweka plate number AA ni ya zamani sana wazibana pini kwaiyo munapo fanya haki iwe kwa wote kwani usalama barabarani sio kwa wanyonge tu bali ni kwa wote kwani magari ya serikali ndio ya mwanzo kuvunja sheria barabarani bila dharura maalum
2026-09-06 00:46:13
2
zitospicefarm1
zitospicefarm1 :
Kwa kweli mnatuumiza sana idara ya Usafiri na leseni ila sawa kila jambo lina mwanzo na mwisho wake🙏
2026-09-05 21:31:50
1
user9977882070171
said kren :
mnatuhangqisha tuu hamuweleweki
2026-09-05 20:56:37
1
kidbr33zy_p0p
Br33zy_p0p :
Me nachkaga t😂😂
2026-09-05 21:11:59
1
saifsaify20
saifsaify20 :
Ata tukifika mbinguni tumechoka
2026-09-05 21:09:52
1
fady_sayd
Fahad fady :
Mungeendeleza tu km ilifika ZZ iwe AAA ama zingepewa AZZ number zika anza BAA msinge sumbuka sanaa
2026-09-06 05:39:16
0
To see more videos from user @asam.media.group, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About