@muhamad411.ah411: #musica

Muhamad411 Ah411
Muhamad411 Ah411
Open In TikTok:
Region: BY
Sunday 06 September 2026 08:54:12 GMT
51519
2042
38
91

Music

Download

Comments

meer.sarbazi
🦅MÊĘŘ SĄŔβÀŽĮ🦅 :
2026-09-08 09:01:38
1
00__unspoken_words__
𝕿𝖓𝖘𝖕𝖔𝖐𝖊𝖓 𝖂𝖔𝖗𝖉𝖘 :
2026-09-21 15:28:02
0
mahmedmahme6
Afghan :
ج
2026-09-11 12:47:02
0
zaid.khan55855764
zaid.momand :
ً
2026-09-11 03:44:03
0
user3183801827834
نورمحمد ترکی :
2026-10-02 17:12:24
0
faisalfarahmand2
FAISAL Farahmand 🇦🇫 :
2026-09-09 13:06:10
0
user72631225000524
بچَٜ٘ڳِڳِْڪِٜ دَٜݪِْس٘ۋِٜزِۋِٜ :
جانم
2026-09-29 08:06:37
0
user6815172598049
صفی الله شهنواز :
🥰🥰🥰
2026-09-06 09:44:30
1
saidullah.pacha8
Saidullah Pacha :
🥰
2026-09-06 17:23:38
1
ezazolaarmani
اعزازالله آرمانی :
🥰🥰🥰
2026-09-06 14:40:04
1
kk966765
K❤️K :
🥰🥰🥰
2026-09-06 11:20:07
1
almasbaloch52
almasbaloch52 :
😔😔😔
2026-09-06 23:17:36
1
mkhoyh
میرویس 👑 :
💝💝💝
2026-09-07 02:40:16
1
bahar.ahmadi05
Bahar Ahmadi :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-06 23:04:24
1
bahar.ahmadi05
Bahar Ahmadi :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-07 00:00:40
1
user1436583448171
عبدالحمید تاجیک :
🥰🥰🥰
2026-09-06 17:37:44
1
user5250322396206
مرویس تیموری :
🥰🥰🥰
2026-09-17 16:18:45
0
mohammad.arif.ash5
Mohammad Arif Ashori :
🥰🥰🥰
2026-10-01 22:23:40
0
user5313825986844
سردار تهنا :
❤️❤️❤️
2026-10-11 14:18:27
0
heshmatyosefi09020316790
حشمت .یوسفی. :
🥰🥰🥰
2026-10-12 18:49:15
0
khanafgh341
khan Afghan :
♥️♥️♥️
2026-09-10 21:25:16
0
hemmat.hemmate
Hemmat Hemmati :
😁😁😁
2026-09-17 15:05:46
0
jxdjfqqshto
jxdjfqqshto :
🥰🥰🥰
2026-09-30 15:11:57
0
m__r6146
Khan 🫴🫀 :
🥰🥰🥰
2026-09-07 06:58:27
0
To see more videos from user @muhamad411.ah411, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

KAPOTEZA ZAIDI YA 5M KWENYE BIASHARA YA HOTSPOT… SOMA HII KWA MAKINI ISIJE IKAKUKUTA. Kuna mzee mmoja kutoka Tanga aliamua kuingia kwenye biashara ya Hotspot akiwa na matumaini makubwa sana ya kupata pesa. Alimpa installer mmoja huduma ya kumfungia Hotspot. Installer akaja akafunga eneo lenye coverage ya karibu kilomita 2. Nilipomuuliza, “Kwa nini umeamua kufunga eneo kubwa hivi?” Akanijibu, “Niliamini nikidominate eneo kubwa nitapata pesa nyingi zaidi.” Nikamuuliza tena, “Una uhakika router unayotumia ni specific kwa ajili ya kuuza internet?” Akasema, “Hapana, ni router ya home use.” Nikamuuliza, “Una uhakika wateja wakiwa ndani ya eneo hilo wanapata huduma nzuri na stable?” Akasema, “Hapana.” Nikamuuliza swali lingine, “Unajua maana ya RECAP DATA?” Akasema, “Sijui.” Nikamuuliza swali la mwisho ambalo liliniumiza zaidi… “Wateja wako wanasemaje kuhusu huduma yako?” Akasema, “Wamesema huduma ni mbovu.” Nikamuuliza, “Ushawahi kuona router ambayo imetengenezwa specifically kwa ajili ya kuuza internet kwa watu wengi?” Akasema, “Hapana.” Nikamuangalia nikamuuliza, “Kwa hiyo umejifunza nini?” Akasema: “Nimejifunza kwamba EXPERIENCE MATTERS MORE THAN EXPECTATION.” Mzee huyu alipoteza zaidi ya 5M, si kwa sababu Hotspot ni biashara mbaya. Alipoteza kwa sababu aliingia kwenye biashara bila elimu sahihi, bila mentor mwenye experience, na akaamini kwamba kufunika eneo kubwa ndiyo maana ya kupata pesa nyingi. HELLOW MSOMAJI… Hotspot si biashara ya kununua router, kuifunga na kusubiri pesa iingie. Hotspot inahitaji maarifa, experience, location analysis, vifaa sahihi, mfumo sahihi wa billing, network management na zaidi ya yote mtu mwenye experience ya biashara hii. Usitafute tu mtu wa kuuza vifaa. Tafuta mtu anayejua biashara yenyewe. Kwa sababu installer anaweza kukufungia mfumo unaowaka, lakini mentor mwenye experience anaweza kukuambia kama huo mfumo kweli una nafasi ya kukuletea faida. Usiruhusu expectation ikufanye upuuze experience. Jifunze kwanza. Uliza maswali. Fanya research. Sikiliza watu waliokwisha kupitia njia hiyo. Maana wakati mwingine gharama ya experience inaweza kuwa ndogo sana kuliko gharama ya kufanya mistake. EXPERIENCE MATTERS MORE THAN EXPECTATION. #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #creatorsearchinsights

About