Kuna mmjo ameshasema huko angejua tanzania imekuwa mbovu hivi asingerudi 😂😂🙌
2026-09-06 15:38:18
23
user9295244359875 :
point kaka
2026-09-06 21:51:40
0
silviamacha12 :
shid wamesha tawanyika mwee kazi ipo
2026-09-06 12:15:37
11
use..kylin💞💞 :
on pointy
2026-09-06 12:22:16
0
Tara_kiba :
kiukweli mm sikoment lkn hii kiukweli umeongea point sana
2026-09-06 12:55:43
7
debr@h :
kuna mmoja anaongea kiswahili kisichoeleweka kabisa had wenye kiswahili chao haelewi
2026-09-06 13:45:14
9
keih Mwanah@1 :
100/100
2026-09-07 05:09:59
0
Shukuru Hassani :
hizo gharama nani analipa?
2026-09-07 05:49:30
0
Seja2030 :
Leo umeongea point nzuri mnoo kaka
hongera sana
ni vema serikali ilachukua ushauri wako
sababu ukweli ni kwamba wote ni mateja
wengine ni vichaa kabisa
2026-09-06 13:25:51
10
Kim :
Na kweli
2026-09-06 11:07:35
9
mdigo :
umewaza jambo Ambalo nilikuwa naliona ata mm nikweli kabisa kaka 🥰🥰
2026-09-07 05:08:24
1
Renatha :
nikweli kaka umeongea kitu
2026-09-06 18:42:35
2
Ahmadi kumchaya :
katika siku umeongea point Leo umefikiri sana brother thankful
2026-09-07 05:45:36
8
Bibi Kijazi :
Umesema vizuri kakangu jimy maana hata mimi nilisikia ndani ya moyo wangu hivyo unavyosema ,kabisaaaaa!!
2026-09-06 13:01:16
6
Martha :
Kiukweli naona tuko kwenye Hatariiiiii!!!! Jamaa wote sura zinaonyesha zimechoka wengine wanajilaum aisee kuna namna ya kujilinda nao sana.
2026-09-06 16:29:15
3
Justin stamphord :
yan hapa kuibiwa vitu tuanze kujiandaa
2026-09-06 15:46:28
4
asha Tinnah :
kuna siku zingine unaongeaga point,ila unahisi serekal inahela yakuchezea kulisha watu wote hao ?
2026-09-06 17:28:20
4
Jojoh roshar🤗🥰 :
nikweli kaka ulichokiongea
2026-09-06 12:48:37
1
To see more videos from user @kipunje, please go to the Tikwm
homepage.