@chomozatv: Pastor Ng’ang’a anasema hataki kuona matajiri kanisani kwake, Maana wengi wao wamejaa viburi, hawashangilii wala kupiga nduru. Wao ni kukaa tu viti vya mbele. Ila zaidi anasema kwanza huwa hawaanguki mapepo wala kupiga kelele. Unadhani Matajiri wamemkosea nini Pastor 😂 weka comment yako hapa 👇 Nini Mtazamo wako juu ya katazo hili? ( ✍️ chomozanews. ) #2026angaza #2026iwenurukwako