in God nothing wrong kadada mi ni rapper ineed saport nimefanya nyoosha na sudybrown
2026-09-16 18:46:48
0
Salome John :
On point bby
2026-09-16 16:10:19
0
E DEVINE🤍🦋 :
ivi siku na mm ntamiliki ata biashara yangu daah🥹
2026-09-08 10:34:59
304
zuraiya kidoti :
so nice
2026-09-16 19:11:13
0
Elizabeth Assenga :
pole dad angu mmy angu pole san
2026-09-15 15:40:22
0
eddy.. :
pole mom
2026-09-15 14:17:26
0
its me🍒🦋 :
me sitaki ata mpenz saiv 🥺mm leo wa kumuomba mpenz wang mia tano anambie hana 🥺
2026-09-08 11:20:56
166
Diva the boss97 :
mungu ajawahi kosea ukiona mtu ameondoka mikononi mwako ujuwe ai wakwako kikubwa ni maombi mungu akupe wakwako🥰🥰🥰
2026-09-07 18:39:49
101
shaniz ❣️💜💖🔥 :
shida yenyu na harmonize munakosana tu ata hamjali sisi kama mashabiki tutafeel aje 😫💔
2026-09-09 09:18:03
60
recho :
kwakweli maana mahuciano yanaludisha Kila kitu nyuma tunajifalij tu lakin ukiwa na mahuciano mazur Kila kitu kinaenda poa
2026-09-09 04:52:11
25
jovina2000 :
MUNGU akupe afya njema mamaa nakupenda ♥️
2026-09-15 18:50:53
0
Millah R.Makoti :
kipenz okoka bas YESU anakupenda sana
2026-09-08 15:35:29
32
Grad Mshindo :
pole dadang hayo unayoyapitia mm nimepitia
2026-09-15 17:41:05
0
user4078108100760 :
wimbo uu unajina gan msaads
2026-09-08 07:17:13
5
king tyvon :
wew harmonize ndio wako
2026-09-08 11:31:29
5
miss p❣️❣️ :
akuna anaejua unayo pitia kwaiyo ishi utakavyo dada usiishi watakavyo🥰🥰
2026-09-08 08:41:28
14
vee❤baby❤💃 :
Hakika Ila kumpata sasa ndokazi 🥺
2026-09-15 11:36:27
1
babyhuled :
haya maisha kesho yetu hatujui mara nyingi ukishapoteza mwanaume wako wa kwanza basi ujue kuja kupata tena sahihi ni bahati nasibu japo wapo waliobahatisha hatutakiwi kujutia yaliyopita ila kuna wakati tunatakiwa kujutia kupoteza wanaume wetu wa awali p fank majani ndio alikuwa mwanaume wako sahihi lakini yote kwa yote maisha lazima yaendelee muhimu tusichoke kuomba mungu kwakuwa bado tupo duniani