mh nakuomba ushauri wangu vacation gloves ukipeana mikono na mwananume allah ana Tisha kesho mama angu haya mapito tu mama angu Fata allah anavo Taka uta Pata hasara kesho kwake jitahidi uvae gloves ayo mengine fany
2026-09-08 03:34:07
14
🌹🌹zehra :
ila mama anaujasiri, amewezaj kusimama hiv
2026-09-08 03:17:01
8
I'm Osward :
Nitoe maoni kwa kusimama ua kwa kukaa
2026-09-07 22:56:10
4
sisi ni dam dam :
Mungu amuenemee Nuru katika kaburi lake na mama Samia Rais wangu Mungu Akujaalie subra na uvumilivu katika kipindi hichi Cha msiba ,Hakika yeye ametangulia na sisi tupo nyuma yake,
2026-09-07 21:43:52
18
DatHans :
innalillahi,wainnaillahi lajghun
2026-09-07 22:20:38
7
كيونغا جونيور 🇹🇿 :
jamani muacheni mama aomboleze kwa amani
2026-09-08 03:48:33
2
shazimina 💞 :
MUNGUU atujaliye shahada kabula ya umauti 😥 yarabi
2026-09-08 03:39:47
2
nassraa1 :
pole dada
2026-09-08 03:08:45
1
user1467616661891 :
Pole mama Allah akupe subra
2026-09-08 03:06:37
2
ramso :
ntaomba nikuoe ukimaliza ed
2026-09-08 03:27:59
1
Mari am :
🙏🙏🙏allah amsameh makpsa yk na sis tulio baki atupe kauli thabit siku zetu zikifikaaa amin
2026-09-08 01:41:46
2
mamy samayra🥰 :
innalilah wanna illah rajiun
2026-09-07 22:34:58
3
Aju :
innalilahi wainna illaihy rajioun pole mama Allah akupe subra
2026-09-08 03:52:21
0
dumbi tz :
r.i.p
2026-09-08 03:01:59
1
MP.26 :
Allah amrehemu
2026-09-08 03:56:54
0
user7669104205537 :
pole Mama.
2026-09-07 22:15:00
1
Hailathi Choro :
woote tutaishia apa😭😭😭 tuache liho mbaya.
2026-09-08 03:51:24
0
Helen :
pole sana mama
2026-09-08 04:04:22
0
bbywhite :
mungu amlaze mahali pema peponi
2026-09-08 04:14:28
0
RADIATOR :
Pole sana Mama Dkt #SamiaSuluhuHassan, Mwenyezi Mungu amrehemu mzee wetu 🤲
2026-09-08 04:19:11
0
Zeinab Suleyman :
Inna Lillahi wainna ilayhi raajiun Allah amrahamu na amghufirie mapungufu yake na amjaaliye kabri lake liwe bustani miongoni mwa mabustani ya peponi
2026-09-07 22:33:49
2
Rampa 🇵🇸 :
Innallillahi Wainna Ilayhi Rajiuun
2026-09-07 22:36:27
1
Tatu Shante :
huyo sasa hivi anatakiwa akae eda jamani tuheshumu mipaka ya dini yetu na mafundisho ya mtume muhammad swalla llah akeyh wasalam nawashauri tuu jaman kumpa mkono bila kizuizi ni makosa
2026-09-08 02:57:46
5
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm
homepage.