@hakikamapenzi: 😂😂hupendwi mjomba #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #kenyantiktok #hakikamapenzi #sugarmastorythevibe

Hakika Mapenzi
Hakika Mapenzi
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 08 September 2026 14:39:11 GMT
17200
805
16
81

Music

Download

Comments

last.kid89
mafla :
sasa pesa atapewa na nan?
2026-09-09 04:43:32
2
darkrocky26
DARK ROCKY :
Sasa pesa ata pewa nanani 😳
2026-09-09 06:52:39
0
user91297345235144
user91297345235144 :
basi mim sipendwi
2026-09-09 07:25:15
0
prezy.dar
prezzy Dar :
ni kwel kbsa
2026-09-09 04:44:24
1
vianneyndayishim72
vianney :
hio ni ukweri kabisa
2026-09-08 22:22:36
2
eliyahu_2023
Yahu :
Nishajua
2026-09-09 05:30:08
1
j943278
Furaha 🐥 :
kwl. wako. Ivo
2026-09-09 06:46:57
0
collin.fidelis5
No body :
uongo
2026-09-08 15:47:53
2
sumaiya.01130
sumaiya 01130 :
siy kwel mbon mm na mpenda mtu na muwomb hela km hujamuwomb yey umuwomb nan
2026-09-09 06:56:05
0
johnie.mwongesh
johnie mwongesh :
money 🤑🤑🤑
2026-09-09 04:41:37
0
mudrickmohamed51
Mudrick :
sasa he kama upo pekeako je una taka apate wp na upon peke ako
2026-09-09 04:17:26
0
johnie.mwongesh
johnie mwongesh :
money 🤣🤣😂😂😅😅😆
2026-09-09 04:41:49
0
user681324495466
Alex :
hiyo kwel
2026-09-09 06:43:38
0
utujei
JACKSON JAMES :
Mwanamke kama hakuombi ela jua Kuna mungine anaemuomba ela
2026-09-08 20:55:43
4
sir.kichaura
sir kichaura :
Sasa hakuombi hela je atamuomba nan km hana Kazi km anakaz saw
2026-09-09 03:58:07
1
yuscokabwe3
yusco kabwe :
hii haijakaa sawa mi kiukwel kbs mwanamke wangu niliempenda asiponiomba pesa kiukwel hua nakasirika man nakua nahisi kuna mtu mwingine anahudumia hasa nimuone kapendeza dah naumia kijinga sema iko ivi asiniombe pesa ila aniambie hitaj lake natimiza ila pesa tu kila saa pesa huyo kwel hakupend bal kakufanya km kitega uchumi chake na kuna wale ambao wanakuomba pesa lkn anamchango mkubwa ktk maingizo yako kiukweli huyu mi ntampa tu lbda niwe sina
2026-09-09 06:13:58
0
maulid_m_kecho
IMPALA_FASHION_WEAR :
sio kweli maisha yanata pesa sio mwanamke anataka pesa hapa dar kila kitu pesa
2026-09-09 06:34:21
0
mbilinyi71
Mbilinyi✍️📖 :
safi sana imefichua siri, wanaume kimbieni sasa
2026-09-09 07:06:07
0
To see more videos from user @hakikamapenzi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About