unexpected ahki ...niliota Ivi 3days ago...nilimuota Rafiki yangu alietoka Na mume Wangu Hadi mume kaniacha nikaangaika Na watoto lakini nashukuru nishaolewa kwingine kuzuri Zaidi ya uko niliko kuwa
2026-09-10 19:05:40
1
Innocent Bitch🎀💫🎗 :
Na ukiota mtu anakunyang'anya bwana akitumia madawa azn amekuendea kwa mganga inamaanisha nn
2026-09-10 18:40:22
1
Houstonkizy :
nikweli
2026-09-10 09:40:34
2
Narcisette masika :
Nanakiwa na adui si waoni katika ndoto hatasikumoja
2026-09-10 16:17:46
1
Mom T💋👌 :
mimi nimeota adui yangu tumekaa tunaongea vizur adi ananiambia kuwa nimenenepa nimeshidwa kuelewa maana yake naomba msaada wako
2026-09-10 19:26:46
1
7777 :
kwahiyo inabidi nifanyeje Sasa
2026-09-10 13:10:07
1
Ayaan bilal :
mi naota najisuka nywele mwenyw manaake nn sheikh
2026-09-10 08:18:42
1
بنت 💜🌸💫 :
Nimeota narudi shule na huwa inajirudia
2026-09-10 08:05:12
1
user1666361403742 :
shekhe mimi naota mara nyingi kwenye sehemu ambazo sielewi mara nipo kwenye nyumba za zamani kuukuu
2026-09-10 18:29:41
1
sophlishous🦋💜🌻 :
namuotaga baba angu tuna tembea hukunakule tuna pga stori lkn alisha fariki🥺 na nikiw nae nipo na furahaaa sana kuliko alivokua hai nisaidie maalim hii ndoto
2026-09-10 18:15:43
1
Kui zainabu :
kabisa 👌
2026-09-10 13:47:29
1
🥰karin 😍 :
Mimi naota nikifanya tendo la ndio na baba mtoto wangu na siko na yeye n pia Niko country ingine sijui inamaanishaa Nini na si mara moja
2026-09-10 17:14:59
1
jaria saburi :
alaf nimeiota leo hii😂😂😂
2026-09-10 14:49:29
1
vee chityau💖 :
mi juzi nimeita mpanzi wangu tuliachana...amefariki nilipokuja kuambiwa nililia sana...nilivoenda kwake kweli wanazika...baadae nilivoingia watsap nikakuta kanitafuta kwa jina lingine ila uso wake ulikuwa umefubaa...nikamwambia wewe si umekufa...nikawa nashangaa( Ina maana gani hii ndoto??
2026-09-10 16:31:32
1
salha_collection2.0 :
Mm nimeota adui yangu amenikuta nimesimama na wenzangu wa tatu mm nimesimama kati akafikia kunikumbatia na uku analia sanaa hii inamaana gani
mm nimeota nimechumbiwa na ila imekalibia ndoa tu yule mwanaume amefalik hii ndoto Ina maana Gani na kiuhalisia mm nimechumbiwa
2026-09-10 11:08:33
1
Mamy :
Atasubir sn 😂😂😂😂 cna mda wa kuongea na yeye
2026-09-10 06:55:39
3
Ms rose🎀🌸 :
Niliotnga nimepoateza viatu lakin nilipopotezea ni sehem Kama msikitin yan wanavua viatu na wana Ingia ndan nipo itafka sikuviona nilikua Mashuka viatu ila vimekatka ila rafki yang akaniambia twende tukatembee nikamwambia sina viatu kwa mda huo nilikua peku ila leo nimeota tena nipo sina viatu ila lafki yang alikua na viatu viwili akanipa kimoja yeye alikua na chalang ya jano mm akanipa cheusi je ina mana gn