@bbmtvtanzania: Kufuatia kile kinachoendelea mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa mwanamke anayejulikana kwa jina la Sophia kwa madai ya kumtongoza aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe. Paul Matiko Chacha sasa zimeibuka clips zikimwonyesha hayati John Joseph Pombe Magufuli kwamba hata yeye amewahi kutongozwa na hakumkamata mtu. Video hii imepostiwa kwa madhumuni ya kutoa habari na kuwasilisha taarifa pekee. Sisi si wamiliki wa maudhui haya. Hata hivyo, mmiliki anaweza kuwasiliana nasi kwa ajili ya umiliki (credit) au kuondolewa kwa video hii. bbmtvtz haiungi mkono, haichochei, wala haishawishi ubaguzi wa rangi, ubaguzi wa aina yoyote, ukatili, au tabia yoyote yenye madhara inayoonekana kwenye video hii. Lengo la bbmtvtz katika kushiriki video hii ni kuuhabarisha umma na kudumisha uwazi kama chanzo cha habari kinachoaminika. #viral #tiktok #fyp #fypシ #fyppppppppppppppppppppppp

bbmtvtz
bbmtvtz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 09 September 2026 15:32:33 GMT
943
40
2
2

Music

Download

Comments

slaywithney55
Slay with- ney💞 :
Huyu ndo kiongozi sasa
2026-09-10 20:12:28
0
gabrieltembo0
Gabriel Tembo :
Uongozi lazima uongeze watu wote
2026-09-09 15:50:02
0
To see more videos from user @bbmtvtanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About