@waziri_wa_comments: Ukipata comment ya kuchekesha nitumie inbox tucheke wote 🤣

waziri_wa_comments
waziri_wa_comments
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 10 September 2026 21:24:29 GMT
50776
1892
72
226

Music

Download

Comments

tecina255
tecinA :
Hivi mna uhakika tuko sayari moja na hawa jamaa kweli?
2026-09-11 07:08:21
20
witnessupa
witnessupa :
😂😂😂😂😂😂 hata kama hajazaliwa tayar ana deni la taifa jmn
2026-09-11 05:41:05
14
dorismnywiga2
Dorin mnywiga :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wuwiiiiiiiiii jamani mbavu zangu, 🤣🤣😂🤣😂😹 watanzania mnavisilani kwakweli
2026-09-11 07:23:46
1
mwibzytz0
amosi Mwiba :
nataka na me nikazaliwe upya huko 🤔🤔
2026-09-11 06:42:18
5
magda_msusi
Magda Msusi :
Kitufe cha kufika Singapore nibonyez wap
2026-09-11 11:46:33
4
user3905525199547
gramovic said :
kwani tramp si katangaza anasema anauwezo wa kuinunua afrika nzima,,mbishieni watanzania semeni hauwezi kuinunua African iyo tanzania tu inakushinda,lazima tramp atataka sifa atainunua ,akishainunua tu mm nitaenda kuomba uraia singapore,kule nazalisha watoto kama hamsini ili nipate pesa ya kuinunua nchi nyengine,mtaji nguvu za kiume tu 🤣
2026-09-11 09:49:49
2
mikevybz25
@Mike Vybz🫡 :
n mbyaa mazee
2026-09-10 21:41:43
1
warioes_mandagang2
warioes_MANDA_gang :
kaz tunayo
2026-09-11 09:14:24
0
devotha.erck
devotha erck :
😳😳 nachoka mm
2026-09-10 22:45:41
3
user2731247102728
@love G😏🤍 :
mmmh kazi ipo kwaiyo kila mtoto ana deni lake niongee kwakukaa au kwa kusimam maan nashindwa kuelewa hizi nch tunaelekewa wapi😂😂😂
2026-09-10 21:35:42
3
user385637783992
user385637783042 :
waaalah nazaliwa upyaa[Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-11 19:04:31
0
hilalsaid111
hilalsaid109 :
Duuh 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-11 08:53:29
0
neema.simion5
Neema Simion :
kwanza unatakiwa utoe pesa ndio upewe mtoto wako
2026-09-12 07:25:41
1
tototozzzy
🐾ÐOG🐶 ŁŮTƳ⅘ :
weeeh basi mimi nina B900
2026-09-11 05:39:25
0
tiki24ve_0
Rare💸 :
Me siwezi za mtoto aje kulipa deni la taifa 🥹😏Never deni lilipwe kwanza
2026-09-11 18:58:35
2
johnkachwele7
johnkachwele7 :
🤔nawaza hata mabao yangu pengine yanadaiwa deni la taifa doooh! nachoka kabisa 😇
2026-09-13 08:23:07
0
kklhhhhkk
ROI BELGE ISSA :
basi mnipe bili yangu ya deni nipunguze maana nina laki moja yanguhapa🥺 sipendi madeni mimi
2026-09-11 21:24:17
1
user9941304583598
user9941304583598 :
ivi Tanzania ni sayari ya ngapi nashindwa kuelewa
2026-09-11 22:16:16
0
braytonnorobeth1
braytonnorobeth1 :
Mpo makini saaaana kwa majibu
2026-09-11 19:49:13
1
ramadan.amour
Ramadan Amour :
dapipi nishushe😂😂😂
2026-09-11 17:23:25
0
peterboy50
peterboy50 :
tanzania ukizaliwa tu unakuta deni la taifa linakusubilia 🤣🤣🤣🤣 bongo sihami
2026-09-13 18:36:39
0
kaipailembaya
emanuel laizer221 :
huku deni limehama kwenye trillions saiv babillon
2026-09-11 21:42:26
0
erasto9424
Erasto :
nashidwa kuwaerewa
2026-09-11 17:43:01
0
purple_real1
purple_real og💜 :
umenena baba 😂
2026-09-11 18:39:57
0
danielconte065
Conte de 26 :
Na anakufa nalo hilo deni wanabaki nalo ndugu zake
2026-09-12 03:43:12
0
To see more videos from user @waziri_wa_comments, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About