@rd.master5mambamyamba:

RD MASTER
RD MASTER
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 11 September 2026 12:40:42 GMT
33639
877
72
106

Music

Download

Comments

johnstonemalunda
malunda :
Huu mfumo ndio unatumiwa na nchi zilizoendelea, na ni mfumo ambao unazjia zana ajali, ila.kwa huku kwetu hizo point zitakuwa za uonevu kwa kuwa polisi wanavizia wenye magari wafanye makosa ya lazima,
2026-09-11 20:38:24
2
special.fuso
SPECIAL FUSO🚚 :
Yani hizo point kwa dereva ambae yupo njian siku zote hazimaliz siku 15 watuambie tu ukwel tupaki magari bas tukalime mateja waongezeke mtaan
2026-09-11 17:05:06
5
kasenegala4
Baba D :
mimi zimebki izo 6😂😳
2026-09-11 20:39:00
0
user8537880015095
[email protected] :
kwan. wakuu. point. 15. zikiisha. unafungiwa. resen
2026-09-11 15:51:58
0
sambuo.kweka
Sambuo kweka :
tatizo tunafanya siasa kila sehemu 😅😅😅😅
2026-09-11 17:17:19
1
jupter3348
jupter :
ikifika moja unafanywa nini
2026-09-11 23:23:42
0
barakaludohela
Baraka Ludohela :
ila haps serikali iangalie sio kweli
2026-09-11 19:57:19
1
joe.kagame
Joe.Kagame :
Hili swali, kiukwel haliko sawa kabisa.
2026-09-11 21:47:05
0
stanleysmartstore
Stanley smart store :
hawana akili viongozi wetu
2026-09-11 21:58:20
0
user2719800198263
Falishady 01 :
bado kufanya mambo ya muhimu serikali nchi amewashinda.
2026-09-11 22:26:09
0
jeffryder744
Jeff Ryder744 :
Warudishe na Hela zetu wabaki na Lesen zao tu.
2026-09-11 20:17:05
1
king_lambert_jr
Lambert 🤠🤠 :
Sasa sijaelewa point wanakata na fine wanakupiga, wawe wanaamua jambo moja either point au kulipa fine. Na waeke namna bhaac ya kuongeza mana mda mwingine dereva anatenda wema na bado fine na makato ya point yapo palepale
2026-09-11 22:50:13
0
_mictech
Michaelleo :
Tuzo point
2026-09-11 21:34:24
0
hasani..issa
Hassan Issa Bobo :
mm yangu ina 11
2026-09-11 21:26:30
0
kainijohn
Kaini John :
Daa yani nashindwa kuelewa kweli Madereva Sasa inatakiwa twendeni kúlima tu
2026-09-11 21:46:11
0
timagostudios
Timago Studio :
😂😂😂 kumbe wapi seriously hivi nilijua wanatani bana, kweli Kila mtu ATAFIKIWA kwa wakati wake 😂😂
2026-09-11 21:04:35
0
davidlihoha
David :
Waweke kwa kiswahili sasa hii nchi lugha mama ni kiswahili😅
2026-09-11 21:01:01
0
mapreader0
mwanza phone accesories :
achana na lessen gharama za kununua gar jeee
2026-09-11 20:37:49
0
kasenegala4
Baba D :
mbna hyo anazo nyingi sana izoo
2026-09-11 20:37:30
0
fridaysons2
A :
hizipont zinge katwa kwa makosa makubwa kama ajal kusababisha ajali au yatafutwe makosa maalum ya kupunguza point ila kwa makosa ya kila siku naon kama rushwa itatembea maama derev ataon bola haonge iyo fain ili pont sisishuke
2026-09-12 00:10:02
0
costerpeter8
Daddy :
nna point sifuri na sijawahi andikiwa kosa yapata katika miaka mitatu
2026-09-11 23:45:39
0
njombeboy1
Erasto njombe finest :
ni mbaya tu mkuu
2026-09-11 20:52:11
0
miss.smilling1
Miss.Smilling :
kwahiyo zikiisha inakuaje🤣
2026-09-11 20:54:00
0
moris.soud
moris soud :
ndio zikiisha bc tenaa
2026-09-11 15:59:42
0
To see more videos from user @rd.master5mambamyamba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About