whenever I see anything to do with ferry a remember that woman mwenye alianguka na mtoto wake wakiwa kwa gari🥺
2026-09-12 06:40:46
72
kenkennedy1990 :
hii ferry ikona engine???
2026-09-12 14:44:52
0
Binsudah❣️❣️ :
kuishi likoni nayo ni kumtafuta Mungu maneno tu😅
2026-09-12 08:26:48
124
Eis💚 :
May you all be safe 🫂💚
2026-09-12 04:44:00
0
Mamake 💗 :
God save our brothers and sisters 🙏
2026-09-12 06:07:19
1
sihaamAdede :
good cameraman very patient
2026-09-12 04:19:05
30
Bonykyash :
kwani ferry ubeba watu wagapi per trip??mtu anijibu plz
2026-09-12 07:05:59
82
MIss N💞💝💯 :
is there dip
2026-09-12 03:48:14
1
mushauri wa rais :
which country is this?
2026-09-12 06:06:28
10
John :
Thanks for the Dongo kundu bypass. Hapa hamtawahi niona 😂I remember boarding the MV mtongwe one time in stampede, it was overloaded and it was late in the evening. ilienda ikining'inisha milango kwa maji 🤣 then one day Mv nyayo was pushed towards deep sea 😳 another incidence the tag boat caused strong waves while in the middle of the ocean. story for tomorrow
2026-09-12 19:33:19
1
💫🎀moh🍒🥰🧚🫂💜 :
nilikuwa nikuje Mombasa lakini ngoja kidogo 😂😂😂
2026-09-12 09:51:58
7
Kemmy :
huu mchezo sipendi
2026-09-12 03:25:05
17
mary mwikali 🤩❤️🔥 :
aki me sijawai panda fery I will try one day
2026-09-12 06:58:25
6
SALLY❤️ :
hukuwa free au mtu hulipa?
2026-09-12 07:27:29
6
Jackline Nyamwaya😍😍 :
Hawa watu wote hivi wangeenda wachie Nani Kura
2026-09-12 09:02:40
15
tee mugo :
imagine someone who was on the ferry for the first time
2026-09-12 11:50:41
8
bint m🥰 :
tushukuru mungu ilijam kama umefika mwisho aki not kati kati ya maji🙏🙏🙏
2026-09-12 09:56:48
5
wendy💃💃🇪🇦 :
aki this things looks Soo dangerous 😳,,why don't the government find an alternative,,yaani Hadi watu hunyeshewa wakiwa ndani
2026-09-12 03:59:02
59
John :
hawana zile temporary ladder huwa naona kwa movies pirates wakitumia
2026-09-12 01:42:07
15
mysterious bill :
Mombasa kunanyesha na huku green highland ni jua kali. Maajabu.
2026-09-12 04:42:49
23
Mie gurl :
MV Likon ferry 1500 or 1000 with 50 cars
2026-09-12 09:07:44
5
Achalugo :
I don't understand, kwqni inashindwaje ku dock, msinitusi lkn
2026-09-12 09:14:24
5
Leon Nyamai :
kuna ferry za maana my jambo na safari
2026-09-12 04:58:54
22
To see more videos from user @mckelvoo0705669793, please go to the Tikwm
homepage.