@calistisimba: Mwananchi aliyeulizia maji abebwa na police #police #tanzania #jeshilapolice #mwananchi #tanzania

calistisimba✓
calistisimba✓
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 11 September 2026 17:39:49 GMT
24893
905
168
44

Music

Download

Comments

user1322214941561
user1322214941561 :
Which Is This Country?
2026-09-11 18:33:26
3
emanuel.lyamuya16
Emanuel Lyamuya :
Sasa kosa lake nini?
2026-09-11 18:47:01
21
allengerald48
The Greatness of God🤲🙏🏼 :
Aaaaaaaah this is too much sasa😂😂😂
2026-09-11 18:16:39
1
moggan32
𝑴𝑶𝑮𝑮𝑨𝑵 ALUMINIUM :
police 👮 acheni kuwa juu ya sheria nyiye ni wana nnchi kama wengine
2026-09-11 18:32:29
24
serbia.jr
Serbia jr :
hawa police wanajichafua wenyewee live in direct
2026-09-11 19:11:32
0
samwelmeshack3
🆂🅰🅼🆆🅴🅻🅸 :
kuna jambo nawaza any way [Innocent]
2026-09-11 19:04:06
0
fadhil_ibrahim
Fadhili Ibrahim :
Mbona mnatujaza chuki police, sasa huyo jamaa kakosa nn..?? Kwan ungemwambia tu kwa upole anyamaze ww askari ungepungukiwa nn.... Acheni bhana kutumia mamlaka vibaya
2026-09-11 19:07:04
10
jimmycartertz
jimmycarter :
uyo jamaa yupo right God bless him
2026-09-11 18:28:08
3
user9504847496517
Sam :
wakibeba hizo silaha wanaona maisha wameyamaliza
2026-09-11 18:50:20
7
user7008549038702
Neykidoti :
Ila police 🚓 baadhi yenu mnaboa sana 😱
2026-09-11 18:27:06
18
mkumbojc
Japhet CM :
Ndio maana wananchi wanachukua maamuzi mkononi wanafanya kinyume na matarajio
2026-09-11 18:33:52
7
user6251116104611
mjuni mtembei :
afu mnasema tanzania ninchi ya uhuru uhuru uko wapi kama syo kutufumba mambo yaajabu sasa kosalake nilip wakat anatoa kelo yake
2026-09-11 18:30:08
10
samweljemanuel
samwelj emanuel :
huyu police hajamtendea haki huyo bwana. maji ni uhai
2026-09-11 18:27:29
9
big.paul22
AKILI NA PESA :
nchi hiii kwa kweli 😭
2026-09-11 19:07:41
4
godfreymahiya
Godfrey Mahiya :
makosaaaah
2026-09-11 19:10:09
2
fadhili.mgandi
Fadhili mgandi :
wanaenda kumpa uhaini au wanampa kesi gani
2026-09-11 18:29:45
6
isambi.shombe5
Isambi Shombe :
Duh hatar mtu akiongea ukwel bac amekosea
2026-09-11 18:57:35
3
user3407366173022
Alhikma bin Nassor :
Sasa kwanini alalamike?
2026-09-11 19:17:01
0
emmanuel.peter87
Emma%Boy% :
daaaah nchi hii bwana
2026-09-11 19:03:39
1
yuzzo.dachy2
yuzzo dachy :
ingawa mm siwez chukuliwa kishamba ivo
2026-09-11 19:02:58
1
iga.yohna
iga.Yohna Mwakalebela :
daa.nimefungazipu..mungu.lindataifa
2026-09-11 18:59:13
1
directorkenny4
director Kenny tz :
🤣🤣🤣hii ndo tz kulalanika Kwa sauti ni kosa kikatiba
2026-09-11 18:54:52
4
omaryluo7
Omary luo :
uongozi wa kukamata kamata watu ovyo sugu alisema acheni misifa
2026-09-11 18:55:32
1
samsonjackson664
Samson jackson :
hii ni nini???
2026-09-11 18:58:23
1
To see more videos from user @calistisimba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About