Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@ms.overlysexxy: #fyp #makemefamous #viral #school #nomotivation
noodle
Open In TikTok:
Region: US
Friday 11 September 2026 21:21:35 GMT
8098
2028
0
33
Music
Download
No Watermark .mp4 (
2.31MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
2.2MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @ms.overlysexxy, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Peter Mwasalyanda, amesema ushiriki wa wadau wote ni muhimu katika kudhibiti matukio ya kihalifu yanayofanyika kupitia huduma za simu na intaneti. Mwasalyanda ameyasema hayo Septemba 7, 2026, wilayani Kilombero, mjini Ifakara, katika mkutano na wadau wa mawasiliano, wakiwemo kampuni za simu, viongozi wa Serikali, madiwani pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Amesema mafanikio katika juhudi za kudhibiti uhalifu unaofanyika kupitia mitandao yanategemea ushirikiano wa kila mdau katika nafasi yake, huku akisisitiza kuwa TCRA itaendelea kutoa ushirikiano kwa wadau wote. Katika mkutano huo, viongozi na wananchi wa Ifakara wameelezwa umuhimu wa kushiriki katika kupambana na utapeli wa mitandaoni, hususan kwa kutoruhusu laini zao za simu kutumiwa na watu wengine. Mamlaka hiyo imeeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekuwa wakiruhusu watu wengine kusajili laini kwa kutumia taarifa zao kwa malipo madogo, kisha laini hizo kutumika katika vitendo vya utapeli. Wananchi wamekumbushwa kuhakiki laini zao za simu kwa kutumia *106#, kuripoti namba zinazotumika kufanya utapeli kwa kutuma ujumbe mfupi wenye namba ya tapeli kwenda 15040 bila malipo, pamoja na kutoa taarifa mara moja pindi simu inapopotea au kuibiwa. Aidha, wameonywa kutotoa ushirikiano kwa mtu anayejitambulisha kuwa mtoa huduma wa kampuni ya simu bila kuthibitisha, huku wakikumbushwa kuwa huduma za kampuni za simu zinapaswa kuthibitishwa kupitia namba 100; simu kutoka namba nyingine zinazodai kutoa huduma zinapaswa kuchukuliwa kwa tahadhari.
grwm para el día 🤌🏼✨🎀 guys, se vienen cositas 👀 #makeupreview #makeupiregretbuying #grwm #fentybeauty #beautytips #abril
solennEntertainment ทำถึงเลิศศศศ #RoomNumberFreen
صارت وش حطيتوا لهم ؟ 😭 #arabcomedy
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy