kwangu mimi wewe ni infrencer bola zaidi tz you are the best bro nimeanza kukufuatilia kitambo sana naaidiipo siku tutafanya kazi siku moja hata kama sio leo ila kuna siku
2026-09-12 13:06:02
4
mr dalali mtwara :
daaa nilifika mitaa hiyo nilipotea aisee
2026-09-12 11:13:27
2
researcher @🇿🇦🇿🇦🌍 :
wakigoma tujuane 😅😅
2026-09-12 15:47:05
0
SHUU 🦋🌹 :
mama Abdul umefikaje china🤣🤣
2026-09-12 16:06:29
0
Mama YAO :
Nakukubali kinoma yn 💪
2026-09-12 15:35:22
0
Tumah🦋💗 :
Ma abduli😂😂😂😂
2026-09-12 10:23:50
2
rikasontyson :
why kigoma???😁
2026-09-12 15:19:23
0
noreen♥️♥️☺️ :
😂😂😂😂😂kwann wakigoma
2026-09-12 14:15:11
0
cathy :
nauli shingap
2026-09-12 14:25:05
0
alien_x25 :
Mbona wabongo wengi
2026-09-12 12:09:01
0
ان احبه :
ni karibu na tong tong hotel karib na tang qi market
2026-09-12 12:22:12
0
Dm-computer-dodoma :
nice
2026-09-12 13:11:24
0
Modo@# :
nakupenda bure
2026-09-12 12:48:24
0
mother hous fan :
Kofi hilo
2026-09-12 12:31:25
0
Anipher :
kwann wa2 wa kigoma ujawah acha kutu taja jaman
2026-09-12 13:26:53
0
iamvannie_sk :
wakina Rashid wamekukosea nini 😅
2026-09-12 13:13:28
0
YULE BOY WAPILI🩵🇹🇿 :
juz nilinunua pensi apo kwa ela ya kibongo bongo nililipa 600
2026-09-12 13:11:40
2
To see more videos from user @bwengahimself, please go to the Tikwm
homepage.