I have zero tolerance for non sense, kama mtaona wanaona ninapanic mapema basi ila lazima nikiwashe
2026-09-12 13:36:38
18
jayson26malls :
kama sio mwanasaikoloji Huwez mwelewa huyu mwamba
bigUp bro mm umenipa kitu👊
2026-09-12 13:29:06
11
pokiboe :
appreciate it bro
2026-09-12 14:09:14
0
Jacqie Clement :
Kama Chatgpt tu 😂😆
2026-09-12 13:59:10
5
It's Erilly :
umetisha kak
2026-09-12 12:12:23
5
aboumuhsinsasya :
habari ndugu,kwa mujib wa uislam mwanadamu anavyoviumbe viliwili ktk mwili,kimoja ni kibaya na kingine ni kuzuri kimoja kimetokana na jini na kingine malaika,na mwingine ni ww watatu
kat suala lolote la maamuzi kuna mijadala huwa inafanyika ndani mikubwa mithili ya mahakama,na hakimu huwa ni ww
hii ni kwa wale waliodeep sana wataelewa kunawakati unashindwa kufanya maamuzi maana hujui ktk ya hawa wawlil nani yupo sawa maana wote wanakupa evidenc
sasa kinachotokea hukimbili kwenye dhana/utabiri hapo ndipo wngi huwa tunakosea
nb pindi mijadala kama hii inapokuwa ndani yako ili ufanye jamb sawa egemea kwnye dhana njema kama bdo hujaona mwenyewe kwa macho ama kusikia kwa masikio yko,hpo ndipo utakapo upata uhuru wa amani ktk moyo wako
2026-09-12 14:25:42
6
Badi Bao :
Juzi kuna jamaa rafiki yangu ananidai milioni 2 nikamcheleweshea siku moja,sasa nikatuma meseji hakujibu,nikampigia simu hakupokea, nikajua amekasirika,jana kanitafuta kumbe alifiwa na Mjomba wake.......alikuwa hospitalini 😂😂😂😂
2026-09-12 15:17:19
6
Gube 22 :
Fact💪
2026-09-12 19:06:48
1
mimilicious🥀🦐 :
Nimepona 🥰🥰
2026-09-12 19:12:53
1
Giveon :
.onelove
2026-09-12 19:32:57
1
y :
Sahihi kabisa
2026-09-12 18:28:24
2
lerai fones :
unyama
2026-09-12 18:54:17
1
To see more videos from user @somahosea46, please go to the Tikwm
homepage.