@islamicswahilinet: ACHA KUONYESHA KILA KITU MITANDAONI, JICHO LA HUSDA LINAUA" Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 13:04:24 GMT
2969
341
6
35

Music

Download

Comments

safy41444
safy :
sadakta
2026-09-12 16:01:19
1
user82066319013307
khalid beloved by many :
waama biniimat rabika fahadithi
2026-09-12 13:09:12
1
manailhamilham4
Mana ilham Ilham :
🤲🏽🤲🏽
2026-09-12 13:39:07
1
sifamali6
la réine de joie ❤️ 111 :
🤲🤲
2026-09-12 13:29:34
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About