@nguyenminhluanpc06408: "忘记不愉快的过去,但记住经历过的教训!” "Hãy quên đi quá khứ không vui, nhưng phải nhớ bài học mình đã từng trải” #douyin抖音 #xuhuongtiktok #lenxuhuong #vairal #fypシ

Nguyen Luan
Nguyen Luan
Open In TikTok:
Region: VN
Sunday 13 September 2026 04:48:02 GMT
5068
415
1
27

Music

Download

Comments

bai.ryhan.adam
SHINE ✨✨ :
🥰🥰🥰
2026-09-13 07:07:30
0
To see more videos from user @nguyenminhluanpc06408, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Nini maana ya Zaka - Zaka ni fungu la kumi la pato lako. - Zaka ni fungu la kumi la pato toka mshahara wako ofisini, shambani au kwenye mifugo. Tena zaka hii ni ya Bwana na ni Takatifu. Kumbukumbu la Torati 14:28-29, Walawi 27:30 –32 Watu wengi tumekua wezi kwenye kutii juu ya agizo la kutoa fungu la kumi/zaka Tukisoma katika malaki 3:8 neno la Mungu linasema, Je, mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia ZAKA na DHABIHU”  Tusichojua ni kua kunajisababishia laana kwani wizi ni dhambi na ndo mana ukikamwata unaiba basi lazima sheria  ifate mkondo wake. ….. Mmeniibia Zaka na Dhabihu. Ninyi mmelaaniwa kwa laana;   maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote  (Malaki 3:8, 9). Lakini Malaki 3:10 anasema; “Leteni zaka KAMILI ….” Maana yake nini maneno haya? Maana yake ni hii; ikiwa kwa mfano mshahara wako kwa mwezi ni shilingi 2,000/= ( kabla ya makato) – fungu la kumi au zaka unayotakiwa kutoa ni shilingi 200/= ambayo ndiyo zaka kamili ya mshahara wako. Ukileta pungufu yake hiyo si zaka kamili. Tena kwa mfano umevuna magunia 10 ya mahindi toka shambani mwako – zaka kamili unayotakiwa kutoa ni gunia moja bila kupungua. Kumbuka mzaliwa wa kwanza wa mifugo yako ni wa Bwana.  Unaweza ukasema habari za kutoa zaka ni za agano la kale na siyo za agano jipya. Waebrania 7:5-10 inatuambia wazi ya kuwa Ibrahimu alitoa fungu la kumi. Kama Ibrahimu alitoa sehemu ya kumi, Je! si zaidi sana kwetu sisi tulio uzao wake kwa imani ndani yake Kristo? Maana imeandikwa hivi;  “Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu na warithi sawasawa na ahadi” (Wagalitia 3:29), Wagalitia 3:13,14).  Umuhimu wa Kutoa Zaka 1. Inaweka ulinzi  Malaki 3:10–11 “...nitamkemea yeye alaye kwa ajili yenu, wala hataharibu mazao ya nchi yenu...” 2.  Chanzo cha baraka Malaki 3:10 — “...mkijaribu kwa njia hiyo... kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha.” 3. Kumuheshimu Mungu Mithali 3:9–10 — “Mheshimu BWANA kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote 4. Kumtegemea Mungu  Mathayo 6:33 — “Bali utafuteni kwanza ufalme wa Mungu, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.” Kwa nini watu wengi hawaoni matokeo ya utoaji wa zaka? 1. kutoa zaka pungufu 2. kutoa kwa nia ovu 3. kusubiri kukumbushwa wajibu wao 4. wengi hutafuta sifa badala ya baraka 5. kutoa zaka isiyo halali (njia iliyotumika kupata zaka si halali machoni pa Mungu. Je umekua mwaminifu kiasi gani kwenye swala la zaka? Usisahau kulike, kusave na kushirikisha wengine ili wajifunze zaidi. #zaka #christiantiktok #tanzaniatiktok #fyp

About