@bunda_kris28:

bunda kris28
bunda kris28
Open In TikTok:
Region: ID
Sunday 13 September 2026 13:39:38 GMT
677
60
1
0

Music

Download

Comments

mah.kembar984
Mah Kembar :
mode apa ini bunda🥰🥰🥰??
2026-09-13 14:08:12
0
To see more videos from user @bunda_kris28, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

HATUJAMHUKUMU MTU TUMETOA UKUMBUSHO 𝗧𝗔𝗡𝗕𝗜𝗛𝗜 𝗡𝗔 𝗡𝗔𝗦𝗔𝗛𝗔 Kuandika aya za Qur’ani kwenye sehemu ya ngazi ambayo watu wanapita na kukanyaga maandishi hayo ni jambo lisiloruhusiwa, kwa sababu ndani yake kuna dharau na kutoheshimu maneno ya Allah Allah Mtukufu amesema:  ذَٰلِكَ وَمَن يُعَظِّمْ شَعَائِرَ اللَّهِ فَإِنَّهَا مِن تَقْوَى الْقُلُوبِ “Hivyo ndivyo ilivyo; na anayezitukuza alama za Allah, basi hakika hilo ni katika uchamungu wa nyoyo.” (Al-Hajj 22:32) Sheikh Ibn Bāz رحمه الله Ibn Bāz amesema: «فجميع ما يعرض ذكر الله، أو الآيات إلى الامتهان والرمي في القمامات، أو في الأرض، أو ما أشبه ذلك كل ذلك لا يجوز، بل يجب أن يصان كلام الله وأسماؤه سبحانه عن كل ما هو ذريعة للامتهان ووسيلة للامتهان.» “Kila jambo linaloweka katika hatari ya kufanyiwa dharau Dhikri ya Allah au aya za Qur’ani, kama kutupwa kwenye takataka au ardhini, na mambo yanayofanana na hayo, yote hayo hayaruhusiwi. Bali ni wajibu kulinda Maneno ya Allah na Majina Yake dhidi ya kila kitu kinachoweza kuwa njia ya kuyadhalilisha.”  Tunawanasihi waislamu mnapotaka kufanya jambo lolote lenye sura ya dini mjitahidi kuwasiliana na mashekh wawapeni miongozo, sio mnakurupuka mnafanya jambo ninyi mwadhan mwaona mwafanya jambo zuri la kupendeza n.k kumbe mwakosea Lakin pia ninyi mashekh mnaoalikwa kwenye mashughuli kama hayo mkiona munkari wowote ukemeen na muuseme, sabab mkikaa kimya wao wataona kua jambo walilofanya ni sahihi. Qur’ani inapaswa kulindwa kuheshimiwa na kuthaminiwa maana ni maneno ya ALLAH na nimuongozo kwa Walimwengu, haijaja ili iwekwe kama mapambo. Wallahu aalam Wenu Naupenda Uislam

About