@kanikibrown: Kaniki TV tumezungumza na mmoja ya mshiriki wa Kongamano la Tano la Chama Cha madereva wa Serikali Tanzania kutokea Visiwani Zanzibar amezungumza umuhimu wa Kongamano hilo Mohamed ambaye yeye anatoka Visiwani Zanzibar amezungumza na kusema umuhimu wa Kongamano hili moja wapo pia wamekumbushwa kama madereva kutunza Siri za Viongozi wao wanaowabeba 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia