@user5417109571705:

نورة كويتيه 🇰🇼👧
نورة كويتيه 🇰🇼👧
Open In TikTok:
Region: KW
Wednesday 16 September 2026 18:19:25 GMT
1062
87
6
32

Music

Download

Comments

ehgf_a
مـحـمـد 💙 :
وين الرياضه
2026-09-16 18:26:09
0
faisaltyhtg
عبدالله 🇰🇼❤️ :
امممم
2026-09-16 18:23:54
0
fahad.q48
FAHAD.30 :
2026-09-16 19:52:50
0
7d.yi7
ﯛ̲୭حَٰـُـٰٓدآنَٰـُـٰٓيَٰ :
👌👌👌👌💛
2026-09-16 21:02:06
0
alshammarii.1
Alshammarii :
🔥🫵🏻
2026-09-17 04:30:03
0
To see more videos from user @user5417109571705, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Ushirikina Katika Ujenzi  Hili ni jambo lililopo sana Tanzania, hasa Dar, Pwani, Tanga. Watu wengi wanaamini, Wengine wanatumia kama mbinu ya kutafuta pesa.  AINA 7 ZA USHIRIKINA UNAOFANYIKA UJENZINI 1. Kuchinja kuku / mbuzi kwenye msingi 2. Kuzika chupa / mayai / hirizi kwenye kona 4 3. Kuweka pesa / sarafu kwenye msingi 4. Fundi kusema
Ushirikina Katika Ujenzi Hili ni jambo lililopo sana Tanzania, hasa Dar, Pwani, Tanga. Watu wengi wanaamini, Wengine wanatumia kama mbinu ya kutafuta pesa. AINA 7 ZA USHIRIKINA UNAOFANYIKA UJENZINI 1. Kuchinja kuku / mbuzi kwenye msingi 2. Kuzika chupa / mayai / hirizi kwenye kona 4 3. Kuweka pesa / sarafu kwenye msingi 4. Fundi kusema "Bosi kuna nyoka msingini" 5. Kutokuruhusu mama mjamzito kuingia jengoni 6. Kuzika nguo au mifupa ya mnyama juu ya lenta 7. Mganga kuja "kuzindua" nyumba MADHARA HALISI YA USHIRIKINA UJENZINI 1. Unapoteza pesa - Kuku wa kafara 50k, mbuzi 200k, mganga 500k - pesa zote bure 2. Nyumba inaharibika - Mayai na damu chini ya msingi inaleta wadudu, harufu na uozo 3. Msimamizi anakuibia - Akisema kuna mzimu, atakupa bei kubwa ya vifaa halafu anakula pesa 4. Unachelewesha ujenzi - Siku 3 za kusubiri nyota nzuri, mvua ya kafara n.k 5. Kisheria - Kuchinja hadharani bila kibali cha afya ni kosa Ukitaka nyumba yako iwe salama kisheria na kiimani: Kwa Muislamu: • Soma Dua ya kuingia nyumba mpya, Sura Al-Baqara ndani ya nyumba siku 3 za mwanzo • Toa sadaka kwa maskini - hii ndio kinga halisi Kwa Mkristo: • Mwite mchungaji aombe, sio mganga • Maombi ya kuweka wakfu nyumba Kwa Kihandisi (Muhimu zaidi): 1. Pima udongo (soil test) - 300k-500k Dar. Hii ndio inazuia nyumba kuanguka, sio kuku 2. Tumia fundi mwenye leseni - Mwenye CRB, sio fundi wa mtaani tu 3. Tumia nondo za kutosha - MSingi usiweke kuku, weka nondo 12mm na saruji nzuri 4. Weka kinga ya mchwa (ant poison) - Hii ndio dawa ya msingi, sio chupa Fundi mzuri atasema: "Bosi mchanga mbaya, ongeza saruji" - sio "bosi kuna mzimu"

About