@omariykuba.com: Bado siamini kama ni kweli umetutoka, Rayani. 😢💔 Umeondoka mapema sana na umetia pengo kubwa katika mioyo yetu. Umetuachia kumbukumbu nzito ambazo tutazibeba daima. Hakika tutakukumbuka kila siku na hatutakusahau kamwe. Mungu akulaze mahali pema peponi. 🕊️🤲❤️ Rest in Peace, Rayani. 🕊️@Remy kichwa runguu @₵ⱧɄ₲₳🕯️MÌÐÚñÐÖ @young6tz backup account 🫡 @2pac makaveli efx @🦋😜loly maah🦋 @⚜️Dōnãtï💱 Mãjëñgø 🎲
lala salama rayani mungu akupunguzieee adhabu jamn
2026-09-18 14:54:26
2
godyfrey3006 :
acha kutania bhn mkuu
2026-09-18 09:02:41
3
Sque Efx :
cha bc kafany aj
2026-09-18 08:24:25
1
LADIES UNDERWEAR ARUSHA :
jamani jaman rayan mdogo wangu kwan ilikuwajee mama 😭😭😭 innallallah waina ilahh rajihun
2026-09-18 19:35:53
1
Maah Sabby :
mdog wang umechukuwa maamuz magumu mnoo
2026-09-18 14:53:11
2
tecy047 :
lala salama rayani Amen
2026-09-18 09:17:52
3
geof master :
chal angu mapema sana
2026-09-18 19:41:23
1
@$parrow :
Achaa basi mamen
2026-09-18 08:20:21
2
Young Brayden :
acha hizo mkuu
2026-09-18 09:07:22
0
dingolii_mkunyaa mdudu🦀🦋 :
ishi na makanda 🙏og bhna maana uwezi julo😭 day akoo siku ukidanja atakaye beba maelekezo akoo apoo ivoo RIp la mamah bhnaa😭 rayani 😭😭nitakukumbuka san mamah
2026-09-19 09:11:49
1
popy ceaut 💞💞💋 :
rayan mwenyez mungu akupunguzie adhab ya kabur punzk salama nakumbuk ulisema turud wote babt mwez wa kum na mbil nimeumia sana rafk yangu mapem mno
2026-09-18 16:21:25
0
naomijustin :
ni noma sana RIP
2026-09-18 19:57:28
1
Rashmellow☠️😎 :
oya acha masihara kijana
2026-09-18 08:09:37
1
🦋Ikran majeng🍁🛠 :
mm inyew siamn jmn
2026-09-18 21:15:48
0
jessy mrimbo :
dah rest in peace Dr mungu akutangulie
2026-09-18 16:11:21
1
fadhili ramadhan :
mbn siamin nilin ten
2026-09-18 11:05:43
1
Iram🫥 :
vp aliumwa au n nn shidaa?
2026-09-18 09:10:51
0
Ebęŧhø⚔️💥 :
R.I.p x mapema sana 😪😪
2026-09-18 08:23:05
1
Norah Maah :
Daaah siwez sema kajinyongea nn mana dah now dayz watu tuna umri mdogo ila mioyon mwetu tumebeba vitu vikubwa vya kutuumiza sana jamani mungu akupumzishe salama kamama so sad aseee
2026-09-20 02:14:28
0
@Clement2840 :
😭😭😭
2026-09-19 20:44:35
0
🍎it's shammy🦋 :
inaumasana
2026-09-19 19:50:39
0
Mr Shoo☠️☠️ :
ame fanyaj jmn kwan wot amjui au vp
2026-09-19 21:09:47
0
To see more videos from user @omariykuba.com, please go to the Tikwm
homepage.