bora nijifanye nimezimia wanipeleke hospital siwezi kuamka hyo aibu hapna🤣
2026-09-19 05:29:37
10
mamu🦚 :
Sasa alikuw anaend wap
2026-09-19 07:04:24
3
CHILLA🇹🇿 :
Afazar dear x😂😂😂
2026-09-18 14:11:27
1
Cathy 🇹🇿🥰 :
sasa huyu nae alikua anawai wapi 😂😂😂😂
2026-09-18 15:47:57
4
Da Love💃 :
jaman alikua anakimbilia wapi🤣🤣🤣
2026-09-18 14:50:57
10
neemajohn57 :
jamani nimecheka eti alijua mstali wakupokea chakula asante kwakunichekesha
2026-09-18 19:11:00
2
Agy❤️😘 :
Uwiiiiii
2026-09-18 16:00:14
2
Alexa🧚🏻♀️ :
Akiii ningejifanya nmezimia 😂😂😂😂
2026-09-18 23:24:49
1
Ceyclement💦❤️📌 :
Fashion zitawauwa
2026-09-18 21:29:07
2
Elizabeth Joseph :
Nashindwa kuelewa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-18 18:58:37
1
Rusta Jafary :
mhhh jaman 🤣🤣🤣
2026-09-18 18:23:14
1
Rizzy wa north 🦋 :
alafu mtu akuambie pole😭
2026-09-18 18:29:12
2
Hawa Ismaily :
🤣🤣🤣🤣pole hajamani
2026-09-18 12:03:58
2
Bulongo_x :
umekosea sana Admin, Hii wala haifurahishi, labda kama umepost ili upate comments na like. hii inafurahisha kama huyu dada sio ndg yako, umekosea kuipandisha hii clip
2026-09-19 04:58:44
1
Flora :
Ila we bint kwan ulikuwa unaend wpi lakin cheki vijan wenyewe sasa wpo bize 😅😅😅😅
2026-09-18 17:47:06
1
🦋tulia😎 :
aibu naon mimi😂
2026-09-19 13:03:04
0
priscamarlley :
😁😁😁😁😁😁😁niachee ww dada
2026-09-19 13:47:43
0
To see more videos from user @yohmaalim, please go to the Tikwm
homepage.