@anajulialima022: Né não ??🥰 #garotasapoiamgarotas #meninas #fyyy

anajulianunes261
anajulianunes261
Open In TikTok:
Region: BR
Sunday 20 September 2026 00:26:45 GMT
220
13
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @anajulialima022, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya marekebisho ya ratiba ya upimaji na mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026, kufuatia uwezekano wa kutokea kwa mvua kubwa zinazohusishwa na hali ya hewa ya El Nino katika maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Septemba 25, 2026, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, amesema hatua hiyo imechukuliwa baada ya Serikali kufuatilia kwa karibu taarifa za hali ya hewa na kutathmini athari zinazoweza kujitokeza katika uendeshaji wa mitihani ya Taifa. Amesema kwa mujibu wa utabiri rasmi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, TMA, kuna uwezekano wa kutokea El Nino yenye nguvu, huku mvua zikitarajiwa kuanza katika baadhi ya maeneo mwezi Oktoba na kuongezeka zaidi mwezi Novemba 2026. Ameeleza kuwa hali hiyo inaweza kuathiri usafiri wa wanafunzi, walimu, wasimamizi na maafisa wa mitihani, pamoja na kufikika kwa baadhi ya vituo vya mitihani, hivyo Wizara kwa kushirikiana na Baraza la Mitihani la Tanzania imefanya marekebisho ya ratiba ili kupunguza changamoto hizo. Kwa mujibu wa ratiba iliyorekebishwa, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili Ngazi ya Shule utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026, wakati Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026. Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili utafanyika kuanzia Oktoba 12 hadi 23, 2026, huku Mitihani ya Kidato cha Nne ikianza Oktoba 19 hadi Novemba 6, 2026.  Marekebisho hayo yanalenga kuhakikisha wanafunzi wanafanya mitihani katika mazingira salama na yenye utulivu. Naibu Waziri amesema Serikali itaendelea kufuatilia mwenendo wa hali ya hewa na kuchukua hatua stahiki kwa kushirikiana na mamlaka na taasisi husika, ili kuhakikisha upimaji na mitihani ya Taifa inafanyika kwa utaratibu unaofaa, huku usalama wa wanafunzi, walimu, wasimamizi na wadau wengine ukipewa kipaumbele. #Pakua App ya #OpenMedia playstore kusikiliza #DoubleORadio na kutazama  #OpenMTV au kupitia tovuti #openmedia.co.tz, Kwa Matukio, Habari na Matangazo wasiliana nasi 0677107271 au 0677107273.

About