@zenah0234:

Zeeh🧕🍭
Zeeh🧕🍭
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 08:02:09 GMT
99539
3875
456
180

Music

Download

Comments

lilokarajab
sentano16 :
tarehe hizi
2026-09-20 14:43:19
64
diva.the.boss97
Diva the boss97 :
wangu ananikataza kupost sare zao😂😂
2026-09-21 09:22:55
38
shasta.karina
shasta karina :
haya dada karibu utusaidie kulia
2026-09-21 08:22:11
22
angelvijorahandbangs1
Angel vijora & handbags :
mimi tangu nilivyo enda kutambulishwa kazini kwao kile kitchen party nilicho pewa sinaga tena munkali ya kumpost na gwanda😂 nilifundwa mimi😂🙌
2026-09-22 19:23:35
33
user1357483015888
shalifa,🥰🥰 :
huwe na moyo kombati zinatisha my dear karib chama kulia kipenzi haahaa
2026-09-20 16:32:02
41
alchardkr
Swahilian🇹🇿 :
basi vikionaga tarehe hizi upendo unaongezeka had raha😁😁😁😁
2026-09-20 17:55:42
19
user1199957916706
Kashato daughter :
Aaya na Mimi nitafutie bas mwenye sare Etty
2026-10-04 05:46:06
1
careenlondo0
CAreeN :
Karibu chamani single but dating 😂😂
2026-09-25 07:35:57
0
kichina05
Kichina🦋 :
tumpe mda gani 😂😂
2026-09-25 13:24:49
6
mo.amaan.i
mo.amaan.i :
nadhani mnafahamu ni wa rank zipi wanatundika combat kwenye gari ☺️
2026-09-20 20:50:41
9
roseshuma
Roseana123 :
Kesho iyo nikuimba tu 😂😂🫴🏻
2026-09-21 05:08:45
3
suhailasuu14
suhaila baby :
tangu nikatazwe kumpost akiwa kazini kwake geleji mashemej walinichamba nimekoma
2026-10-04 09:09:00
0
user951298041069
user951298041069 :
mungu ninusuru. kuolewa na jesh polisi
2026-09-20 16:30:19
3
sashaa19980
Miss Sasha❣️ :
Nyimbo za tarehe ya mshahara🤣🤣eeeh moyo😂😂😂😂
2026-09-20 19:13:07
6
user7123341679567
user7123341679567 :
🤣🤣🤣🤣 karibu kikosini tulie tukiwa wengi huenda wakatulia
2026-09-21 17:09:52
3
mckandore1
Ismael kandore :
Naomba kujua kwan ukioa au kuolewa na mjedaa lazima uende kutambulishwa jeshin kwhy Kuna kuwa nautambulisho mara ngap naitaji kujua nishije ingia chakike
2026-10-04 04:53:01
0
rosemary.clement7
Rosemary clement :
Tusimwambie hata moyo si umemchagua yeye sawa 😂😂
2026-09-20 13:47:39
18
queenfetty47
mom boys✌ :
msimshauri chochote jamani
2026-09-20 17:45:37
1
rainfrida0
Rainfrida💕🥰🦋✈️⚖️ :
Niongee kwakusimaa au kukaa au niruke ruke??? 😂😂😂😂😂😂
2026-09-20 17:02:37
3
leyla58227
leyla :
ivi kweli mwanajeshi anaweze maliza siku mbili ukipiga hapoke simu wal msg ajibu Ila zinafika uwaa ni kweli
2026-09-23 20:17:52
0
fmaika3
F Maika :
Kalibu sana tulie wote
2026-09-21 13:48:22
2
user315561120607
Asimwe 07 :
ata wa kuache mi kiukwel mjenda nampenda
2026-09-29 15:01:14
1
king_sultan772
LAST BORN 0️⃣4️⃣👑👑 :
hizi thr moyo ndo umemchagua😂😂😂😂🙌🙌🙌
2026-09-20 18:02:34
2
elizabeth123456767
ELIZABETH🥰 :
sasa ayo macombat yann
2026-09-20 15:34:44
1
To see more videos from user @zenah0234, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About