@ms_unknown70: #tiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenya #foryoupage

Unknown🌚
Unknown🌚
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 17:27:22 GMT
5829
443
46
11

Music

Download

Comments

nuleycharming2
Nuley @mskompa💃 :
Wamwisho nishamaliza kuangalia unaweza kufuta sasa dear usipofuta nitafuta mwenyewe😂😂
2026-09-20 18:55:13
5
ukhtymuu123
Muu-🥀 :
Mimi Hii tamthilia sijawahi kuielewa kabisa😂
2026-09-20 18:06:32
5
user5484833276076
sheyla :
Sara Sara litakukuta jambo mh haya tunakusubili
2026-09-20 17:41:54
4
alphaminja325
Debreezy kiddyjr :
Misa jamani mbn anapitia kipindi kigumu hv jamani😭😭😭
2026-09-20 18:27:30
2
kay4real34
kaybrown :
uyu mzee anamwambia mwanae mchumba ake aje na two elders wakati uyo mchumba ni elder tosha
2026-09-20 19:41:02
4
its.pau97
pau❤️ :
naomben kuuliza mpenz wa Dan wa zaman ndo dada Ake stela alotoka china?! au watu wawili tofaut!
2026-09-20 17:59:45
1
cathypaul90
DePaul 86 :
tunaomba na za azam two
2026-09-20 18:20:23
1
joycejonathan423
joycejonathan :
kapamba anafanana na ai
2026-09-20 20:49:56
2
chabonge
Princes chabonge🥰 :
Inamana Leo mm ndo Nimewah ivi ❤️❤️❤️
2026-09-20 17:35:41
1
sabra3033
baby sabrah@E0102 :
Leo nimewah
2026-09-20 17:34:31
1
sophie.julius6
Sophie Julius :
Hawa nao ni wakina nani jaman hebu mnifahamishe maana sielew
2026-09-20 19:00:19
1
grace.brait
Braght mom :
waoh wa4 leo
2026-09-20 17:39:15
1
maindutu
momo :
nipeni like zangu team Nicole na team misa
2026-09-20 17:51:32
8
hajruu_024
hajruu_024 :
Nani hajafollow hii page ya uknown 🌚?
2026-09-20 19:09:12
0
user7192038759845
zylaah💨💓 :
kwan Sarah hajui kama Adel sio mamake mzaz
2026-09-20 17:39:14
1
alphaminja325
Debreezy kiddyjr :
Daaahhh huyu mdada aliyeingia ni shidaaaaahhhhhhh sanah😭😭😭😭
2026-09-20 18:31:35
4
user96934351311120
Millen🌹 :
dada muuza kiwi embu tuache kidogo😂😂
2026-09-20 19:32:39
1
gyal_ye
~🎊LORA~Efx🦋🤍 :
Jmn huyo alyempokonya misa supu n nan Tena 🥺
2026-09-20 22:02:08
0
usercesiliachris
cute cecy ❤💞 :
🥰🥰🥰
2026-09-20 18:00:49
1
aziza.aziza3640
❤❤my baby❤ :
🥰🥰
2026-09-20 17:51:39
1
lydiabernard810
lydia🥀 :
🥰🥰🥰
2026-09-20 17:33:09
1
To see more videos from user @ms_unknown70, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About