@sauti_online: Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA, Sath John Masawa (31), kwa tuhuma za kumtishia kwa kutumia kitu kilichodhaniwa kuwa bastola dereva wa basi la kampuni ya Satco, Said Fadhil (54), linalofanya safari kwa kutumia namba za usajili T 308 EME. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gallus Hyera, amesema baada ya kumkamata mtuhumiwa huyo, Jeshi la Polisi lilifanya uchunguzi na kubaini kuwa kitu hicho hakikuwa bastola halisi kama ilivyodhaniwa awali, bali kilikuwa ni bastola ya kuchezea (toyi). Aidha, Hyera amesema wakati wa tukio hilo gari la TARURA lilikuwa likitumia namba za usajili T 881 ENZ badala ya namba zake halali STM 5806, ambazo ni mali ya TARURA, huku namba T 881 ENZ zikiwa ni mali ya mtu mwingine. Jeshi la Polisi limeonya madereva na wamiliki wa magari kuacha kutumia namba za usajili zisizo halali, likisema kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na kunaweza kuchukuliwa hatua za kisheria.

Sauti Online Tv
Sauti Online Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 22 September 2026 13:32:22 GMT
114343
3221
362
186

Music

Download

Comments

andrewlyimo610
Andrew chere :
Acheni unaa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-23 09:55:42
0
ibra41238
ibra :
Covering up for their comrades it was a toy pistol
2026-09-23 08:16:39
0
mnkeni.six
mnkeni six :
😂😂[LOL] THIS IS TANZANIA 😂😂
2026-09-23 04:40:14
0
emmanuelfrenk18
CHALII EMMA❤️🫂 :
Toyi lina sr number sawa
2026-09-22 21:51:23
0
fodrina.semda
fodrina semda :
mbona km mnatuona sisi km hayawani?
2026-09-22 16:17:05
92
salmamnema
Salma Mnema :
police anamchunguza police [Laugh approved][Tears of joy]
2026-09-22 19:07:45
0
innotheboy7
INNO the Boy [email protected] :
Ngj nisComment nlicho taka kucomment nibaki kosoma comment za waswahili tu😂😂
2026-09-22 17:31:59
1
neema.jonas10
Neema Jonas :
Mnatuona kama watoto
2026-09-22 16:32:48
23
jayzzayumba
Jay-z Zayumba :
Ok Ameshatishia wangapi na hiyo toy, l cover ya jeshi ametoa wapi namba bandia ametoa wapi na toy bandia alikua nayo kwa dhumuni lipi wangapi alishawateka kupitia hiyo pistol bandia aliwapeleka wapi,
2026-09-22 17:43:25
37
sheddymgeye
sheddymgeyekwa :
vitu vyaajabu xana gari ya serikali inatumia namba ambazo si zakwake lengo ninini hawo ndo wanateka watu halafu wakifika mbele wanaweka namba halisi kupoteza ushahidi sasa kama mnatenda haki mbaneni huyo ili aseme kwanini aliweka namba ambazo siyo zagari husika lengo lake lilikuwa ninini? lkn nanyo jua Mimi utashangaa ndo imeisha kimya kimya hivo
2026-09-22 15:57:17
22
fedrickdaudfamily
Fredy :
Movie name please 🙏 😂😂😂
2026-09-22 19:36:42
9
beatrice.malle
Sophia 🍓cute💯 :
Huooo mchezooo tunajuaaa tumeshajiongezaaa
2026-09-22 21:19:51
7
kd33760
KD :
sema poa MUNGU yupo
2026-09-23 18:01:31
3
ir2222222222boy
Mathewnicolaus :
kunakipindi tuliahidiwa kwenda kutupwa nje ya nchi mnatutupa lini jamani mkanitupe ulaya
2026-09-22 18:24:01
11
milkah372
Minah lee :
nilijuaa tuuu itakuwa hivi🤣
2026-09-22 19:36:26
14
titosjaphaly
🌍Mjukuu wa NKONDA 🌎 :
KUMBUKA niwote ni serikali
2026-09-22 17:36:15
8
ericktemu26
ericktemu26 :
mbona kama police wanaficha ukweli
2026-09-22 16:12:07
8
buruhaniwawa
buruhaniwawa :
Hao ni watu wa system mkuu
2026-09-22 17:50:22
8
salehehoza810
Salehe Hoza :
nchi hiii
2026-09-22 18:23:27
10
samagang.com
Osama Selemani Yusuphu :
watekaji Awo Bandiya Wapi
2026-09-22 19:39:07
5
vivee399
VIVEE399 :
Nashindwa kuelewaa
2026-09-22 19:32:37
3
kipindyason
khalfan kipindya :
sisi siyo wajinga kiasi hicho munajaribu kutuaminisha uongo
2026-09-23 16:30:37
2
sam.wa.zanzibar
SAM....🚭 :
kaz ipo
2026-09-22 18:41:58
2
user54870856529520
mnyonge :
ipo siku tutajua ukweli tuu😂
2026-09-22 19:33:19
4
user99108561021671
[email protected] :
tumedanganywa hapo
2026-09-22 19:33:13
2
To see more videos from user @sauti_online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About