mm nipe mipango na hela pia 🤣🤣🤣🤣 kwakwel atakama nina hela ya bwana angu ata iwe ndog yan naifurahia
2026-09-22 16:32:54
8
smile lady :
mnitoe kwenye ujasiri huu
2026-09-22 20:12:00
2
@dinahsanger22 :
Namemate
2026-09-22 16:08:06
1
it's Me 🙋💚🖤💛 :
mm kwakweli napenda pesa ya mme yaani akinipa naona kama si chitiwi 😂😂nipe mipango nipate pesa lakini nipe nazako niziunzanishe ziwe zangu zote
2026-09-22 17:36:26
3
pink leopard ❤️ :
bila shaka n stress za kuwa single since 99 kweusi
2026-09-22 22:10:00
0
Zainabu Plumbing :
nipe mipango nipe michongo👊
2026-09-22 16:37:12
1
Rose Msolla :
Exactly 💯
2026-09-22 17:58:26
0
Hafsa Isuja :
mmmmm mwanetu wewe siyo eva
2026-09-22 15:22:02
2
Virgo queen ♍️ :
Unazungumzia hela kiasi gani
2026-09-22 16:40:17
2
D Mamu :
huyu mm kabisaaaaaa yn mtoa hela anakufanya uzubae
2026-09-22 17:33:40
1
Daynes Daynes :
kweli kabisa
2026-09-22 17:30:54
1
𝐂𝐡𝐞𝐮𝐬𝐢 𝐌𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐚🩵 :
2026-09-22 16:40:07
1
umchrlz :
ameongea vizuri
2026-09-22 14:57:36
1
Devotha Mwakyumba :
Me nipewe tu hela mipango nitaitafuta mwenyewe🤣🤣🤣
2026-09-22 17:39:40
1
shaommy official :
me hela anipe na mipango anipe,ile ya mipango mm itanissidia kutatua mambo ya kwetu na shda zangu ndogo ndogo ila hela zake anipe pia mwanaume ameumbwa kuprovide na ss tumeumbwa kupokea so hata anipe mtaji ntafanya biashara na hela yake bado naitaka 😅😂😂🤣hela ya mwanaume tamu bwana
2026-09-22 17:31:11
1
Rachel Zebedayo :
fact
2026-09-22 15:39:58
1
user1041483317631 :
mm pesa anipe na mipango anipe, mimba anipe.
2026-09-22 22:04:00
0
ceceaika :
naunga mkono hoja, nipe mchongo wa pesa, nipe kazi yenye hela nizitafute alafu tule pamoja
2026-09-22 21:18:06
0
️Blessed T :
mi anipe vyote tu jamani,mipango na hela anipe za kutosha
2026-09-22 18:49:05
0
Ma Mkwe💕💕 :
Hii ni AI😂
2026-09-23 01:24:45
0
feza_255 :
Mm naenda kupewa hela na hiyo mipango pia naitaka zaid😂🤣🙌
2026-09-22 21:40:05
0
Grace John :
yeye anazo ndio maana
2026-09-22 21:24:04
0
anaitwa phb :
inategemea na mwanaume alie kuoa anataka uweje
2026-09-22 21:00:30
0
OMOSAK FIT :
Eeehh MUNGU, uyu wa kwanza
2026-09-22 21:25:04
0
tedy :
kwanzia leo me nilafiki yako naomba unipe izo ela mm
2026-09-22 17:10:43
0
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm
homepage.