@kebikebimanchstercity: man city vs arsenal #manchstercity #ማንችስተር_ሲቲ #fyp #ethiopian_tik_tok🇪🇹🇪🇹🇪🇹🇪🇹

Erling HAALAND🇳🇴
Erling HAALAND🇳🇴
Open In TikTok:
Region: ET
Wednesday 23 September 2026 19:43:29 GMT
16789
1193
23
56

Music

Download

Comments

mayko2577
mayko :
@man city
2026-09-24 08:35:12
0
tanee.tafara
Tamee Tafara :
aree gobaz
2026-09-23 20:33:35
0
usaamamahammad7
Orhaan kingi :
City
2026-09-24 06:53:30
1
mengestu07
mengstie 🍏 :
man citiy
2026-09-23 20:34:11
2
sisayshirt
መድፈኛው👉👉 :
መድፈኛውይችላል
2026-09-24 06:37:11
0
teme.pop5
Teme Pop :
2026-09-24 05:52:50
0
user72217339598
🇧🇷 ዘረ መሳፍቱ 💥🔞🤜 :
2026-09-24 03:38:15
0
liji.woradi.boos
Liji woradi boos 🫰💪💪💪💯💯 :
🥰🥰🥰
2026-09-24 06:57:28
0
begashaw167
begashaw :
🥰🥰🥰
2026-09-24 06:36:39
0
yusuf.man68
yuyu lion 💯🤙💔❤️‍🩹☠️☻️👍👍 :
❤️❤️❤️
2026-09-24 05:44:42
0
jamalaeumari
Jamale$ :
🥰🥰🥰
2026-09-24 03:36:39
0
fikirutadele
Fikru :
🥰🥰🥰
2026-09-24 03:09:06
0
hafitamu156
Hafitamu :
🥰🥰🥰
2026-09-23 22:16:00
0
muniiruzeenuu
Muniiru Zeenuu :
🤣😂😅
2026-09-23 21:40:05
0
www.tiktok.commilkii11
Megersa🇪🇹✈️🇨🇦✈️🇺🇲 :
🥰🥰🥰
2026-09-23 21:37:06
0
afirem7
Afirem :
😁😁😁
2026-09-23 21:36:12
0
tanee.tafara
Tamee Tafara :
😁😁😁
2026-09-23 20:32:54
0
sancho.ferncher
sancho ferncher :
🥰🥰🥰
2026-09-23 20:29:03
0
user6151592812036
minta_zewde :
😁😁😆
2026-09-23 20:20:21
0
keeyradin2
keeyradin :
❤️❤️❤️
2026-09-23 20:18:15
0
keeyradin2
keeyradin :
🥰🥰🥰
2026-09-23 20:17:58
0
user4005459851777
user4005459851777 :
😂😂😂😂
2026-09-23 20:17:28
0
sabona4567255366
sabona :
🥰🥰🥰
2026-09-24 08:30:32
0
To see more videos from user @kebikebimanchstercity, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Katika mwendelezo wa mawasilisho ya mwisho (final submissions) katika kesi ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Antiphas Lissu, Lissu ameeleza jinsi upande wa mashtaka (Jamhuri) ulivyojichanganya na kuleta mashahidi wenye kauli zinazokinzana kuhusu nani aliyealika waandishi wa habari katika mkutano wa Aprili 3, 2025. Akiwasilisha uchambuzi wake wa kisheria mbele ya jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, Lissu amesisitiza kuwa mgongano huo mkubwa kati ya mashahidi wa serikali unayafanya maelezo yote ya Jamhuri juu ya suala hilo kuwa
VIDEO: Katika mwendelezo wa mawasilisho ya mwisho (final submissions) katika kesi ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Antiphas Lissu, Lissu ameeleza jinsi upande wa mashtaka (Jamhuri) ulivyojichanganya na kuleta mashahidi wenye kauli zinazokinzana kuhusu nani aliyealika waandishi wa habari katika mkutano wa Aprili 3, 2025. Akiwasilisha uchambuzi wake wa kisheria mbele ya jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, Lissu amesisitiza kuwa mgongano huo mkubwa kati ya mashahidi wa serikali unayafanya maelezo yote ya Jamhuri juu ya suala hilo kuwa "ushahidi usiokuwa na thamani yoyote". Katika taarifa ya ziada iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) wakati wa usikilizaji wa awali (preliminary hearing - ukurasa wa 131 wa rekodi za mahakama), Jamhuri ilidai kuwa Tundu Lissu ndiye aliyealika waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari kama Jambo TV, Clouds Media, na Mwananchi katika mkutano wa watia nia Makao Makuu ya CHADEMA Mikocheni. Lissu amefafanua kuwa tuhuma hii haikuwa ya bahati mbaya, bali ilipangwa kimkakati ili kuthibitisha kile kinachoitwa "tendo la wazi" (overt act) la kisheria linalohitajika ili kuthibitisha kosa la uhaini. Amesema kisheria ikiwa mtuhumiwa ndiye aliyealika waandishi wa habari ili hotuba yake irushwe, kitendo hicho kingetumiwa kama thibitisho la nia ya kihaini. Zaidi ya hayo, kingewafanya waandishi wa habari waliohudhuria au kurusha matangazo hayo kuchukuliwa kama washirika walioingia kwenye kosa la kuchepusha, kuwezesha au kunyamazia uhaini (misprision of treason) linalobeba adhabu ya kifungo cha maisha gerezani.

About