shukraan Allah akulipe khery akufunguliye katika biashara zako riski za halali 🤲🤲nimefaidika sanaaa zaidi ya sana shukraan 🥰
2026-09-25 11:13:15
25
dotto ndevu :
unauziya wap nije
2026-10-24 11:45:23
0
Saada itasu :
jaman hii swalat nnaria haijathibiti katika uislam n bidaa..ukisoma tafsiri yake kuna sifa ambazo anapewa Mtume ambazo n sifa za Allah...n kwel tuna shda lukuki ila uislam umetufundisha dua na swala nying tu za kuondoa shda...bas tutumie izo ambazo hazina utata mfano swalat nabiy ya kawaida..dua za manabii km yunus..zipo nying..Allahu a'lam
2026-10-26 14:03:57
2
miskiyaabubakar :
container kama hy bei gani kipenzi
2026-09-25 15:37:46
2
Ninah Nation :
shoukran
2026-10-31 16:19:25
1
Naj ||| Thrift & Mawaidha 🤍 :
Nataka ivo vifuko dear napataje
2026-09-25 13:52:53
2
tyfer :
zinaswaliwaje
2026-09-25 20:01:51
1
DOUBLE H COLLECTION :
ahsante kw ushauri wako
Allah azidi kukupa wepesi
2026-09-27 14:54:33
1
amneehussein :
tuandikiye
2026-09-26 06:38:37
1
Rahma design :
hiyo mashine ya kubania nailon bei gani
2026-09-27 13:00:22
0
shara :
keki bei gn
2026-09-27 03:43:28
0
kidotibaby0 :
uko wp kipenzi
2026-09-25 17:04:31
0
Nihaly :
mkwee wanguuu🥰
2026-09-25 21:10:47
0
Iam_nasrj :
MashaAllah
2026-09-25 17:43:47
1
innallaha maaswabirin :
Subhanallah
2026-09-26 05:28:04
2
miskiyaabubakar :
inshallah tuombeane, tuandikie
2026-09-25 15:39:35
1
Zb_heaven sent cakery :
MashaAllah
2026-09-26 19:14:41
1
innallaha maaswabirin :
Mashallah 🤲
2026-09-26 05:28:26
1
Shadzie_1 :
mashaallah Mashaallah Mashaallah
2026-10-12 11:37:07
2
mamyabdull :
🥰🥰🥰 Shuqraan my dada , mm naomba hio swalatu nnariya niandikie hapo chini dada angu Sante sn🤲🩷
2026-09-25 13:29:14
1
Zemok_cakes _ :
alhamdulillah mashaallah kila mwenyewe kumtegemea Allah daima yupo pamoja nae Dunia mpaka akhera mashaallah mabrouq alhamdulillah
2026-10-18 07:53:40
3
mimi :
mtabak na mini pizza unauzaje
2026-09-25 13:33:12
0
mimi :
triangle bei gni
2026-09-25 13:34:04
1
mshery867 :
swalat nariya hiyo hapo
2026-09-27 06:54:21
4
To see more videos from user @salsha_cakes, please go to the Tikwm
homepage.