sasa yanga ni timu ya mpira au ni wachunguzi wa kimataifa tuambie tuelewe sio uropokwe tu.
2026-09-26 16:48:59
0
hidhri :
kweli bodi ya TFF wanaeka Sheria zao kuwaumiza wengine kwasababu wao mashabiki wa timu pinzani hawafai
2026-10-12 07:21:42
0
Husna Shabani :
ya zamani sn
2026-09-25 20:42:56
0
coman-msafi :
hahahahaha wuuuuuuwiiiiiii yani inachekesha yanga aihalibu simba hahahahahahahahaha dahhhhh!!!! haya wacha tuone
2026-09-26 22:32:37
0
Lizzbeth :
mpk DABI IKIPITA TUTAKUWA TUMECHOKA.
2026-10-03 18:28:42
0
Na2030 :
rushwa inashughulikiwa kisheria tena mahakamani
2026-09-26 09:40:42
0
Abdallah :
Mpira sasa hivi unachezwa na media,na ndio wanao uporomosja mpira wa Tanzania,yote snatafutwa kung'olewa Mo,hakuna kingine,hatsikii Costal wala Mtibwa,ni Simba tu
2026-09-26 13:39:07
0
Dr kengele :
yaan mm hata simuelew kabisa anae elewa anambie bac
2026-09-26 09:19:49
1
Augustino Paulo :
unazingua
2026-09-25 19:39:14
0
kingkunta :
Kumbe kuna mazito hivi na hamsemi duh
2026-10-02 09:00:54
0
jannah collection 003 🇴🇲🇹🇿 :
yote hii sababu ahmedi ali kamfunga Ali kamwe
2026-10-13 10:13:26
0
B :
mbona hueleweki tajir unachozungumza😂😂
2026-09-26 21:40:39
0
ommytz :
libasse huyo
2026-09-26 21:08:43
0
frankmkebezi841 :
hili jamaa linajiskia kwel
2026-09-26 17:56:45
0
Jay :
kwenye lile jumba la .aajabu awaingii tena wakiingia tu alama tano awana
2026-09-26 20:08:39
0
daudkondo3 :
Huyu mzushi
2026-09-27 14:47:38
0
AL HABIB 87 mr N Y S :
unagongwq ww
2026-09-26 09:45:17
0
mkorinto2009@c :
jaman ndugu zake wako wap mbona mnashindwa kumlinda ndugu yenu anatoroka
2026-09-26 09:19:07
0
Hemedi Mwelunguza :
fwal
2026-09-26 09:18:59
0
rajabu halfani :
kaka nikulizekitu hapo unachambua mpiraaa ama unafanya ubea huwa ninacheka sana kweli
2026-09-26 07:27:30
0
To see more videos from user @hamadeddymaclayz001, please go to the Tikwm
homepage.