@unspokenties_podcast: @ahmedally_ "Mwanadamu hana tabia ya kudumu , Mtu anaweza kubadilika tabia kutokana na mazingira, uzoefu na mambo anayopitia katika maisha.” Je, tabia ni jambo la kwanza kuangalia unapochagua mwenza wa ndoa? Host: @sellamkisi Guest: @ahmedally 🎥 @selphix_media Powered by: @sephil_sapphire_pride_castle @come_and_savegiftshop @comeandsave_decorationcenter Tembelea YouTube channel yetu ya Selphix Media uweze kutazama Episode kamili. Endelea kufuatilia @selphix_media kwa Habari Zinazogusa Elimu, Jamii na Burudani Zaidi. #unspokenties #SelphixUpdates #selphix_media
behavior(tabia) inabadilika ila personality(hulka) haibadiliki, inabidi usome personality sio behavior(tabia)
2026-09-27 04:54:41
16
Geofrey Boniphace :
semaji leo ndoo kaongea point
2026-09-27 06:22:14
11
de flat :
points
2026-09-27 11:44:49
0
daniel mollel :
namwelewa sana ahmed ali, ila nimeshaoa sasa, angesema kabla nisingeachana na ex wangu
2026-09-27 04:53:16
8
Janeth Thomas140 :
Smart man[Red heart]🤔
2026-09-27 05:15:49
2
user8182815504239 :
Tabia waga haibadiliki,kinachotokea n kwamba mtu anakuwa ana tabia fulam,lakn kama hakuna vichochezi vya kuidhihilisha hiyo to tabia,hiyo tabia hataipnesha lakn ikitokea tu mazingira flan/ vichochezi/ precipitating factorvimekiwepo tayar Tabia inajidhihilisha
2026-09-27 04:01:12
7
Sp Lloris :
~indeed
2026-09-26 21:02:49
1
master Z :
tareh 10 nahamia simba .. sio kwa busara hizi
2026-09-27 10:42:23
3
Emmy :
Smart guy
2026-09-26 18:24:43
2
Mwafyijinja_🐵 🤨 :
Sio sawa people don’t change like that
2026-09-27 03:22:36
2
Hon komba :
hii point naipata leo na nmeshaoa,angesema zaman jaman🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-27 02:01:07
6
Jackson Kilika :
hiyo ni kweli
2026-09-27 04:39:17
2
@furaha123 :
ni kweli kaka ulichokisema
2026-09-27 08:20:24
2
BABA UBAYA👽👽 :
ndomana we nisemaji 💪💪💪💪
2026-09-26 23:10:48
5
PROFESA MAKAME :
umeongea pont sana
2026-09-27 03:35:01
4
elvismkunta1 :
Bora abadirike tukiwa naye kuliko kuchukua na tabia yeke ya hovyo
2026-09-27 05:08:10
1
FarmLG :
sahihi
2026-09-27 03:33:06
2
Allen Nakomolwa :
kweli kabisa
2026-09-27 03:41:10
1
Mohammed Abass :
hamna
2026-09-27 07:36:35
1
Alexander the Great 💪🏿 :
Saa mbovu kuna mda inasema ukweli
2026-09-27 08:55:13
1
most wanted :
fact
2026-09-26 18:07:04
1
Mageni Jackson :
kwel kabis
2026-09-26 18:23:13
2
Salehe Mbegu :
nikweli kaka uko sahihi
2026-09-27 07:16:16
1
user6848810958134 :
Nkwel
2026-09-26 19:13:12
2
jumanne nkanga :
binadamu hasomeki kabisa hiyo nikweli
2026-09-27 06:56:48
1
To see more videos from user @unspokenties_podcast, please go to the Tikwm
homepage.