@oscar_mkatoliki: CHETEZO KATIKA MISA KINA MAANA GANI? Chetezo ni chombo kinachotumika kuweka makaa ya moto na kufukizia ubani au udi wakati wa ibada. Maana na Matumizi Yake na matumizi yake Katika Ibada utayapata katika Video hii. Mpendwa katika Kristo ndoto yangu ni kuwatengenezea maudhui yenye ubora mkubwa zaidi ili yafikishe ujumbe Kwa wengi na kwa namna sahihi zaidi; Kama unatamani kuwa sehemu ya utume huu wa uinjilishaji kwa lugha ya Kiswahili, unaweza kuniunga mkono kupitia: +255 750 327 323 Jina: OSCALIUS ELMES NIHONGATAILE. Kama ukishindwa kuchagia basi sala zako na matashi yako mema ni muhimu sana ili kuhakikisha utume huu unasonga Mbele. Mungu akubariki sanaa. #Oscar_Mkatoliki #CatholicTok #Watakatifu #KanisaKatoliki #fyp #OscarMkatoliki #NeemaYaMungu #YesuKristo #kanisakatoliki

Oscar Mkatoliki.
Oscar Mkatoliki.
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 13:40:48 GMT
19027
1924
64
147

Music

Download

Comments

emmanuelsisti667
Emmanuel Sisti :
mm natumikia lkn nlikuw cjh zaid kuhus chetes lkn sas nmeelew zaid🙏
2026-09-27 14:05:25
6
maria.chija
maria Chija@ :
Aminaaa kaka catholic forever 😂😂
2026-09-27 18:05:26
0
baba.max54
Baba max :
hongera kwa mafundisho mazuri mungu akubariki
2026-09-27 15:39:20
7
merryabas2
mary :
Amen and Amen
2026-09-27 18:28:00
0
daniel.samson942
Daniel✌️🫰 :
hongera san
2026-09-27 16:23:28
0
suziylady
suziy lady🌹🥀 :
mungu akubariki sana🙏
2026-09-27 14:46:29
5
eng_mwangi_davis
Te Deum :
good teachings
2026-09-27 16:15:47
0
hurumayamungu
Christine!Healing of the sick :
Ubarikiwe sana na asante kwa kutufundisha 🙏
2026-09-27 16:01:00
2
user4963217445216
mercy kerry :
Mungu awe nawe milele na milele
2026-09-27 14:37:53
4
michaelmadirisha02
Dr michael. :
Hiyo wamepachika majina na maana wenyewe lakini haluna andiko linasema hayo.
2026-09-27 13:50:50
1
mr.woods97
The woods :
kazi nzuri. nimekuzwa
2026-09-27 14:05:16
4
blac2434
blac243 :
Hii nime ipenda hongera sana kwa somo tena asante na ubarikiwe daima milele.
2026-09-27 16:38:58
1
lynie7643
Lynie :
Asante Mungu kwa ajili yako kaka. Tunazidi kuelimika siku hata siku.
2026-09-27 17:41:30
1
kaviraaline129
Kavira Aline :
mungu aku bariki
2026-09-27 14:41:59
1
d_kamba6
D_kamba :
Asante sana
2026-09-27 14:20:31
1
romanakeriko
Romana Keriko :
samahani kaka Oscar naomb utupe funzo la je mwanamke akiwa kweny siku zako haruhusiw kuupokea Ekaristi Takatifu
2026-09-27 17:13:00
0
jacquestechniques
jacques technique menuiserie k :
milele na milele Amina
2026-09-27 15:30:31
2
user4614554490917
user4614554490917 :
Natamani kujuwa historia Yako Oscar
2026-09-27 20:00:29
0
stanislaus1212
stanislaus1212 :
Nakukubali sana kaka kwa mafundisho yako mazuri maana nilikua muudumu kanisani na nilikua napenda sana kupiga cheteso ila nilikua siyajui haya ubarikiwe sana
2026-09-27 16:10:54
0
.stargal84
Stargal❤️❤️ :
Asante kwa ujumbe huu 🙏
2026-09-27 20:23:45
0
rehema3804
rey💃 :
daah kweli mimi pia nilikuwa sijuw kuhusu hili nashukuru sana kwa kutufikiria kwa hili mungu akubariki🙏🥰
2026-09-27 19:33:04
0
nick_fullforce
King of Air Waves 🦂🦂🦂 :
ujumbe nzito sana barikiwa kwa mafunzo
2026-09-27 19:24:32
0
user6388378080024
erick kimath :
hongera broo lakini kuna chetezo nyingini zina kuaga na cheni 1 kwaiyo inakua ina manisha nini 🙏🙏🙏
2026-09-27 18:35:15
0
haddasahndinda
Pretty :
naweza kutuma direct kutoka Kenya?
2026-09-27 19:16:04
0
octavian.peter7
Octavian Peter :
asant kwamafundisho mazur yanyemaana halisi kabisa
2026-09-27 19:21:56
0
To see more videos from user @oscar_mkatoliki, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About