@g0ud1i: сказали я чітЄр #стрімер #g0ud1 #cs2 #кс2

g0ud1
g0ud1
Open In TikTok:
Region: UA
Sunday 27 September 2026 14:34:05 GMT
1262
17
4
13

Music

Download

Comments

libertacio
Tankum Liberio :
От это конечно неожиданно шо ты в кс шпилишь )))
2026-09-27 15:19:51
1
To see more videos from user @g0ud1i, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

VIDEO: Asubuhi ya leo tarehe 30 Septemba 2026, simanzi imetawala katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam baada ya Bwana Harusi aliyekuwa akisafiri kuelekea wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa ajili ya sherehe ya Send-off iliyopangwa kufanyika kesho, kukwama na kumwaga machozi kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi ya masafa marefu. Bwana Harusi huyo ameeleza kuwa alikata tiketi ya Shilingi 70,000 kutoka kwa wakala wa mabasi kwa ahadi kwamba gari lingeondoka saa 12:00 asubuhi, licha ya wakala huyo kujua fika kuwepo kwa mgomo huo. Baada ya safari kukwama, msafiri huyo alimfuata wakala huyo ili arudishiwe fedha zake atafute usafiri mbadala, lakini wakala alikataa na kumtaka aende Polisi akidai kuwa hilo ni janga la kiserikali. Ameeleza kuwa ndugu na wageni kule Kahama tayari wameshajikusanya, hivyo kuchelewa kwake kunatishia kuvunja sherehe hiyo na kusababisha hasara kubwa. Jambo TV ilipopiga simu kwa mwakilishi wa kampuni hiyo ya basi ili kuhoji sababu za kutosafirisha abiria wala kurejesha nauli, mwakilishi huyo alidai kuwa mgomo huo ni
VIDEO: Asubuhi ya leo tarehe 30 Septemba 2026, simanzi imetawala katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli jijini Dar es Salaam baada ya Bwana Harusi aliyekuwa akisafiri kuelekea wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa ajili ya sherehe ya Send-off iliyopangwa kufanyika kesho, kukwama na kumwaga machozi kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi ya masafa marefu. Bwana Harusi huyo ameeleza kuwa alikata tiketi ya Shilingi 70,000 kutoka kwa wakala wa mabasi kwa ahadi kwamba gari lingeondoka saa 12:00 asubuhi, licha ya wakala huyo kujua fika kuwepo kwa mgomo huo. Baada ya safari kukwama, msafiri huyo alimfuata wakala huyo ili arudishiwe fedha zake atafute usafiri mbadala, lakini wakala alikataa na kumtaka aende Polisi akidai kuwa hilo ni janga la kiserikali. Ameeleza kuwa ndugu na wageni kule Kahama tayari wameshajikusanya, hivyo kuchelewa kwake kunatishia kuvunja sherehe hiyo na kusababisha hasara kubwa. Jambo TV ilipopiga simu kwa mwakilishi wa kampuni hiyo ya basi ili kuhoji sababu za kutosafirisha abiria wala kurejesha nauli, mwakilishi huyo alidai kuwa mgomo huo ni "janga la taifa" na kwamba kampuni pia imepata hasara kwani magari yapo tayari lakini madereva ndio waliogoma kuendesha. Kukwama huko kwa abiria kunatokea ikiwa ni siku moja tangu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alipofika na kuzungumza na madereva pamoja na abiria kituoni hapo jioni ya Septemba 29, 2026 kufuatia mgomo wa kupinga mfumo wa kukatwa pointi za leseni. Katika kile kinachoonekana kuwa mfupa mgumu, Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kufika katika stendi hiyo leo kuzungumza na madereva na abiria ili kutafuta ufumbuzi wa malalamiko hayo.

About