@youngndege: #fyp #foryou #foryoupage #goviral @ŃDÉGÊ PÁÑTHÉR✅️

Yøúñg Ñdëgë🤴
Yøúñg Ñdëgë🤴
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 15:31:08 GMT
6932
313
10
23

Music

Download

Comments

bryson_oscar
OCKAR 🇿🇦 :
😂Mimi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-27 20:16:36
1
muhando711
☆𝑴𝒖𝒉𝒂𝒏𝒅𝒐🦅 :
sikupingi 100%
2026-09-27 16:00:02
1
tee.lover48
Teehope outfit ❤️‍🔥 👖👗👕🪢 :
True
2026-09-27 20:54:59
0
mussaoutfit2
m o se s - :
we jaribu kuowa uone 😁😂
2026-09-27 20:20:33
0
ba.j23
ba j :
😂😂😂
2026-09-27 20:42:56
0
lyankando
Deusson💪 :
me alibweka asbh tu, jion nikamuaga😂
2026-09-27 17:27:44
0
titowambinguni
🗣Tito from heaven🇹🇿 :
kaka wewe ni noma sana 😂😂
2026-09-27 20:19:55
0
eva.wimbe
Eva Wimbe :
mi sito subili abweke maana atakuwa kanizoea 😂😂
2026-09-27 19:31:46
0
user232452116299
dingij@y :
yani kama vile nmetaka kuelewa kiasi but Bado nalichanganua mbna kama atanibwekea Mimi aafu naangaika kumpa majani na pumba bila kujua level zake ni nyama😭😭
2026-09-27 18:33:30
0
jeniphaskinde
Lizzy ❣️💫 :
Tena ata bweka mala nyingi tuu
2026-09-27 20:06:33
0
To see more videos from user @youngndege, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About