@millardayo_: Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili, kilichotokea usiku wa Septemba 27, 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, mkoani Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga leo Septemba 28, 2026, mazishi ya Marehemu yanatarajiwa kutanyıka kesho majira ya saa 10 jioni katika Makaburi ya Msikiti Mkuu, Wilaya ya Ikwiriri, mkoani Pwani. Uongozi wa Yanga umetoa pole kwa Familia, Naugu, Jamaa, Marafiki pamoja na Wadau wote wa mpira na kuwaomba kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu. "Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina." #Millard AyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 22:13:06 GMT
132211
19463
542
196

Music

Download

Comments

hamkawingerxone
Hamkawingerxone :
Resting in peace grandfather. 😭🕊
2026-09-28 06:38:43
1
heelloop2
Heel loop og :
Inna lil
2026-09-28 07:06:01
0
youngrichbarber07
young rich7 :
R.I.P mshure
2026-09-28 07:24:24
0
abalfadhir.prince
Abalfadhir Prince :
Daah rest in peace
2026-09-27 22:20:56
0
daillah0
daillah@ :
baaaaas simba bingwa
2026-09-27 23:05:07
69
bensonthedj_1
DJBENSON 255 :
daah rest eazy mzee wetu
2026-09-27 22:55:46
0
shabby.tajiri
Shabby Tajiri :
Rip mzee
2026-09-28 04:25:00
0
user8332610133521
jm14🦴 :
Duuh yanga sis ndo bas tena ubingwa
2026-09-28 06:04:49
10
richardy819
RICHARDY :
R I P shabiki kindaki ndaki mungu ailaze mahal pema pepon amina😭😭😭
2026-09-27 22:20:47
179
stopahtz
akramally443 :
kuluunasfi zalikat-lmaut 😭 Allah ampunguzie adhabu ya kaburi
2026-09-27 23:00:36
87
abbyhouseofsheets470
Elsbeth💎💦✨️ :
jaman huyu mzee si alishafariki mwaka juzi au nilikuwa naota 🥺
2026-09-27 23:24:46
118
neemavennace
ney 🦋♥️ :
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa Amani 😭
2026-09-28 04:12:16
35
dullydekey
DULLY DE KEY 🔐 :
tuliopokea taarifa hii usiku wa manane
2026-09-27 23:44:30
60
daftar329
Daftar :
🤔Mimi hadi apost millardiayo ndio niamini
2026-09-28 07:01:17
5
starborntz77
STAR BORN TZ 💟 :
KULLI NASFI ZA LIKATU ILMAUTI 😭😭
2026-09-28 05:00:34
7
angrybird9246
Mwaj..🇹🇿🇶🇦🫶 :
innalillah waina ilah rrajiun 😭😭
2026-09-28 03:56:21
13
mchunguzz
SHAFII💀 :
mungu amlaze mahara pema peponi amina🙏🙏
2026-09-27 22:20:49
14
icon.jr632
icon jr💭💫 :
INNALILAAHI WA INNA ILLAHI RAJUUN🥺
2026-09-27 23:06:55
15
digala.mwake
Digala mwake :
mungu apumzishe roho yake
2026-09-27 22:17:46
24
donsuma1
Suma :
Inalillah wainaillah rajoon
2026-09-27 22:19:53
18
ladybrenda14
Brenda💞 :
Me nilijuagaaa alikufaaa mdaaa jmn😭😭😭
2026-09-27 22:29:15
40
nasri_0074
nasri_007💯 :
mbele yeye nyuma sisi
2026-09-27 22:20:18
13
stanslaus498
STANY OG 📸⭐✨⭐ :
daah😭😭😭 mungu
2026-09-27 22:42:09
8
middleton829
Middleton :
Inna Lillahi wa inna ilayhi raaji'un Mzee mpili
2026-09-28 05:37:19
10
abdillah.andulea
Abdillah Andulea :
mwenyezi mungu ablaze mahali pema peponi roho ya malehemu
2026-09-28 04:46:56
6
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About