huy mzeee mungu amuadhibu vikali dini na mpira wap na wap
2026-09-29 09:20:33
3
riyaz :
Ameeb
2026-09-29 19:16:49
0
de official :
sunnah ndio njia katika hakki pekee
2026-09-28 09:03:56
8
Absaal321 :
astaghfiru Alla
2026-09-29 11:33:24
0
Wamwambe Jr :
mungu niepushe na masufiii
2026-09-28 21:00:23
1
mbarakomar368 :
inna lillahi wa inna ilaihi raju'un subhanaallah huu ni msiba
2026-09-28 08:14:55
5
awadhiabdulkareem :
msiba mkubwa
2026-09-28 08:45:22
1
filter :
jamaa pale nyuma kaona acheke kwanza😅😅😅
2026-09-30 04:12:39
1
Msiakwe Makame :
mpira
2026-09-28 11:49:51
0
Dulah030 :
nchi haipo serious
2026-09-29 07:06:49
0
huseni1997 :
😭😭😭 dah jaman Leo mpaka nimetoa machoz uislam tunaupeleka wapi jaman mbon amekosa kuombea ndugu zake walotangulia jaman dah
2026-09-29 08:28:55
1
jobe :
badakuomba mwisho mwema waombea watu wacheze mpira
2026-09-29 15:18:33
0
ZUU JEY :
toba mtihan
2026-09-30 06:24:43
0
Tehran :
huu mtihan mkubwa sana allah atuongoze ktk njia ilionyooka 🙏🏻
2026-09-29 07:30:15
0
hosseni :
ALLAUMA AMIIN
2026-09-29 17:54:30
0
Tasi Mwamba💪 :
daa Simba mezidi hio Kali zote za dunia sijawai kuona ndio mnampa Lana Kwa mungu hafungi tena
2026-09-29 15:19:34
0
abdulbach2858 :
YANGA BINGWA 😁😁
2026-09-28 18:39:29
1
Abdallah :
Ameen ta
2026-09-28 12:49:32
0
Jay :
mtihani huuu
2026-09-28 12:11:40
0
ibn hasheem :
Allah akbar yaan sheikh anaejielewa mwenye anajua dini yake sawasawa hawezi shiriki hayamambo.ya kidunia yasio na faida yeyote kwake na kwa dini yake huu no msiba mkubwa tu
ALLAH ATUONGOZE NJIA ILIYONYOOKA NA ATUPE MWISHO MWEMA
2026-09-29 08:39:43
0
Abdallah :
Ameen
2026-09-28 12:49:41
0
Fern_herbal care :
ila hawa jamaa [Innocent][Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-29 06:01:43
0
abuu hidaya :
wewe vipi
2026-09-28 15:26:21
0
ngasso_ SHAGGY :
2026-09-28 11:53:37
0
To see more videos from user @naupenda.uislam, please go to the Tikwm
homepage.