@ali_wisdom: Unaamka kila siku, unaishi maisha ambayo moyoni hukuyatamani, lakini unajifanya ndiyo chaguo lako. Unatabasamu mahali ambapo roho yako haitamani kuwepo, huku ukificha ndani yako maisha uliyoyaota kwa dhati. ​Hujakata tamaa la hasha. Ni kwamba tu wakati mwingine, mawimbi ya maisha huwa na nguvu kuliko hamu zetu, na baadhi ya ndoto zinahitaji subira ndefu zaidi kuliko uvumilivu wa moyo wa mwanadamu #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou

ali_kim
ali_kim
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 28 September 2026 21:15:15 GMT
1177
101
1
6

Music

Download

Comments

ummuali480
island gal😍🥰❤️ :
Hakika
2026-09-28 23:33:31
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About