@uhondo.tv: Tunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa ajili ya Watanzania ambazo ziko katika hatua za mwisho za kukamilisha taratibu. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano ndiyo inaratibu zoezi zima kwa kushirikiana na wizara za kisekta ikiwemo ya Mambo ya Ndani pamoja na ile ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Mwigulu Nchemba Waziri Mkuu wa Tanzania 🗓️Septemba 29, 2026 📍DOHA, QATAR