@director.navorce: #katoro #trendingvideo #trendingtiktok #geita #mwanza

Director Navorce Official
Director Navorce Official
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 01 October 2026 09:52:47 GMT
200275
6561
238
115

Music

Download

Comments

nature.is.life66
Nature is life :
Tanzania nzima hakuna kata iliyopiga hatua kinaendeleo kama KATORO anayebisha anitajie kata yoyote nyingine anayojua💪😁
2026-10-01 18:10:47
35
sheddy748
sheddy :
stamiko
2026-10-16 10:37:40
0
samkissay
Sam :
katoro ndo wapi
2026-10-02 03:00:26
0
user36105816546963
jailosi jonasi :
katoro kuzur ngoja nije kukopesha vyombo
2026-10-02 19:09:52
6
ibrahmngoni1
ibrah mngoni :
sema mji haujapangwa mkusanyiko wa nyumba nyingi nzuri bila mpangilio
2026-10-01 21:08:43
5
rajabmnyimwa
ramadhani maramsha :
sasa kwanini nyumba zimebanana hivyo watu wanapumua kweli
2026-10-02 03:56:58
7
thoryo4
Blackman :
katoro mzm hmn gorofan jmn
2026-10-01 18:03:08
3
phinaa50
phinaa50 :
Mji mwema
2026-10-02 07:07:59
0
leekazinja
Carlos :
yaani mji hauna mpangilio ikipata moto nyumba moja zote zinaisha😁😁
2026-10-02 15:59:24
2
alyjuma660
allyjuma :
sisiem
2026-10-09 10:24:28
1
user5888817479939
user5888817479939 :
mtaa wasitamiko
2026-10-02 15:35:27
1
amina.official68
minah🍒 Official :
kuacha unafki katolo wanejenga
2026-10-05 17:14:12
1
user542675480181
m boy :
haijawah
2026-10-03 18:06:53
0
qyros91
Qyros :
mimi nahitaji mtu wa igomelo masaki pale shule ya askofu ambaye anaishi mazingira hayo
2026-10-01 20:31:21
0
bonyface5492393323921
NyikaTz 🇹🇿 :
Title song
2026-10-03 14:35:17
1
silasjackson835
silasy77tz :
sitamiko
2026-10-02 18:34:33
1
user2907129229315
kideruse :
hizo nyumba au viwanda mbona paa ndefu ivo
2026-10-01 18:39:15
5
leahpaul5
ASIMWE :
ntakuja ck moja
2026-10-02 08:07:26
1
litha144
litha :
Wajenge barabara za mitaan patapendeza zaidi
2026-10-02 11:34:02
1
mpyanchoo655
mpyanchoo655 :
kanda ya ziwa kila kitu tunacho kasoro barabara tu
2026-10-01 17:34:53
1
sigy96
Sigy shani Sigwadze :
Tqnzania kupanga mji bado sana hao mipango miji hakuna kitu..
2026-10-02 11:20:20
1
jimmy.jaff
Jimmy Jaff :
nyumbani kwangu paleee👉
2026-10-01 19:47:21
1
user45329711474477
shuk mo11 :
mtaa wa nassoro plaza
2026-10-04 20:27:19
1
gervas.theophilly
Gervas Theophilly :
home sweet home
2026-10-01 18:21:44
1
man.man6752
Man man :
mji wa katoro ni sawa na kata moja pale Mwanza Buhongwa 😂
2026-10-01 14:42:39
1
To see more videos from user @director.navorce, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About