@mahfutmahfuet: Semoga bisa hadir di tahun depan#haulsolo #haul #solo #fyp #oktober

mahfutmahfuet
mahfutmahfuet
Open In TikTok:
Region: ID
Sunday 04 October 2026 03:40:08 GMT
2160
102
4
13

Music

Download

Comments

ulfahh4627
Iva Maria 💞 :
itu lokasi d dpn masjid Riyadh yo maz sarung, Azzahir
2026-10-04 04:45:12
2
purrr_std
Purrr_std :
mending turu
2026-10-04 03:43:12
0
To see more videos from user @mahfutmahfuet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

MATAJIRI WENGI WANAJENGA UTAJIRI KUPITIA BIDHAA HIZI 4 💰. Kama unataka kujenga utajiri kupitia biashara, usifikirie tu “Niuze nini?” Fikiria pia aina ya bidhaa unayouza. Kuna aina 4 za bidhaa ambazo zinaweza kukupa nafasi kubwa ya kujenga biashara yenye thamani: 1️⃣ Vyakula na Vinywaji 🍚🥤 Ni bidhaa zinazohitajika kila siku na zina soko kubwa. Tanzania tuna mifano ya wafanyabiashara kama Mohammed Dewji na Said Salim Bakhresa, ambao biashara zao zinajumuisha kwa kiwango kikubwa bidhaa za vyakula na vinywaji. 2️⃣ Bidhaa za Teknolojia 💻📱 Teknolojia imekuwa chanzo kikubwa cha utajiri kwa baadhi ya mabilionea duniani. Fikiria Bill Gates, Mark Zuckerberg, Jeff Bezos na Elon Musk. 3️⃣ Bidhaa zenye Utofauti na Ubunifu 🚀 Bidhaa inayotatua tatizo kwa namna tofauti, yenye ubunifu mkubwa au ambayo si rahisi kuigwa inaweza kujenga nafasi ya kipekee sokoni. Fikiria ubunifu unaohusishwa na kampuni kama SpaceX na Neuralink. 4️⃣ High-Value Products 💎 Hizi ni bidhaa au huduma zenye thamani na bei kubwa. Huhitaji kila mara kuwa na maelfu ya wateja—ukiwa na bidhaa yenye thamani kubwa, wateja wachache wanaweza kutengeneza mapato makubwa. 💡 Somo kubwa: Usijiulize tu, “Niuze nini?” Jiulize, “Ni aina gani ya bidhaa inaweza kunipa nafasi ya kujenga biashara kubwa na utajiri wa muda mrefu?” 📌 Save post hii na share na mtu anayejenga biashara. . @moneytalktz  . @victor_mwambene  . #Biashara #Ujasiriamali #Utajiri #BusinessTanzania #Entrepreneurship FinancialEducation VictorMwambene

About