@innocent_raphael: Mhe. Deogratius Ndejembi amegusa upande wa umeme ambao mara nyingi hauzungumzwi sana. Mtanzania anayekuwa na umeme mbele ya nyumba yake, lakini siku hana fedha ya kununua LUKU haswa wenye kipato cha chini. Katika hafla ya mpango wa TANESCO na CRDB, Ndejembi ameitaka TANESCO kwa kushirikiana na wadau wa sekta binafsi kuandaa utaratibu ambao mwananchi anaweza kununua umeme kwa mkopo, kwa mfumo unaofanana na mikopo ya mitandao ya simu. Hata hivyo, lengo ni kumwezesha mwananchi kuendelea kutumia umeme hata anapopitia changamoto ya fedha. #siasa #innocentraphael #innocentraphael #tanzaniantiktok🇹🇿

Innocent_Raphael
Innocent_Raphael
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 04 October 2026 16:12:09 GMT
55100
2027
50
34

Music

Download

Comments

penny7242
kjk mtt w masharubu :
huyu jamaa mtu sahihi
2026-10-04 19:28:48
3
hannat341
hannat341 :
MUHESHIMIWA TUOMBEESS WAZANZIBAR.TUPATE AJIRA.MAISHA MAGUMU ATARI..UMEONGEA.KIONGOZI
2026-10-04 18:42:56
1
amiry234
amiry235 :
Huy bora angekua rais wa zanzbr
2026-10-04 18:06:46
2
ramad661
@ramadhan n_h :
Dukuduku langu ni hili hapa! mnaonaje mkajadiliana mkavumbua uvumbuzi mtu akienda kwa wakala kununua umeme au kwenye sim uwe unajiunga kwenye miter moja kwa moja bila kwenda kuweka kwenye miter maana hakuna kitu kinachokera unaenda kuingiza umeme usiku sms ya umeme iko kwenye sim na sim hio hio ndio unaotumia tochi kwa kuingiza umeme.Asant
2026-10-04 18:09:57
1
user1131658436209
Faris 🇹🇿 :
ok boss ccm
2026-10-04 16:48:03
1
owardsamwely89gma
[email protected] :
mbona hamueleweki mara tokeni mala tena munatuongelea
2026-10-04 16:52:55
1
khadija.mohammed8598
khadija mohammed :
punguzeni bei ya umeme
2026-10-05 04:33:05
0
right05050
right :
😂😂mkopo dah umeme wote huo mnashindwa kutupunguzia gharama za umeme kuiba pesa tunazolipia umeme mnaweza loh😏kwanza mashirika na taasisi zote za serikali ndo zinaongoza kutokulipa umeme huku mkiendelea kupata umeme bila kukata ni zaidi ya trillion 1 madeni ya umeme hamlipi ,shirika la zanzibar likiongoza kutumia umeme bila kulipa wanadaiwa zaidi ya bilion 296
2026-10-04 19:08:54
1
user1746681598670
Kassim Rashid Mohammed :
Hio mitandao ni wizi tuuu
2026-10-05 04:04:09
0
user1787496088709
user1787496088709 :
hpngera sana
2026-10-05 04:15:45
0
serukyas0622
serukyas :
maoni yangu ongezen. yuniti chachesana
2026-10-05 04:16:58
0
abuubasra
Abuubasra :
HUYU JAMAA ANA KITU
2026-10-05 03:38:56
0
user67266990750236
liana :
kweli
2026-10-05 04:00:04
0
colmanjerominmwac
colmanjerominmwac :
baba ndejembi
2026-10-05 01:04:37
0
evodia797
Evodiakimbwene :
na maji baba kila mmoja atumie àliyonunua, tunaumia na bili za maji
2026-10-05 03:07:33
0
nakeeb.yusuf
Nakeeb Yusuf :
MHESHIMIWA! upo sahihi endelea kutupigania sisi wananchi wa hali ya chini ili tuendane na kasi ya maisha yaliopo hivi sasa
2026-10-05 03:37:15
0
mahmoudlukwale
Luku :
sana tu mkuu
2026-10-04 17:03:59
0
user1746681598670
Kassim Rashid Mohammed :
umeme shusheni bei
2026-10-05 04:06:03
0
helilumbizi
helilumbizi :
yes
2026-10-05 04:42:03
0
ndassi.ze.don
Ndassi ze don :
huku zanzibar tunakopa umeme fresh tu
2026-10-04 22:11:29
0
dingilee
west giant :
sio kodi zipungue kipato kiwe stable zaidi mkuu?
2026-10-04 21:10:53
0
user4233352799953
user4233352799953 :
ni km umeongeza tatizo kwenye maisha ya wananchi kwa sababu akikopa uhakika wa kipato cha kuja kulipa haupo je?watakubali kukopwa deni juu ya deni?
2026-10-04 20:42:09
0
boniventuretz
Boniventure tz :
sio mikopo siku lin na sis tutapata mahitaj bure
2026-10-04 20:24:21
0
rashidihashimu125
manywele :
punguzenia bei ya UNIT sio mikopo
2026-10-04 20:11:15
0
allymuyah
Ally Muyah :
mkuu msaidie mama mama wanamhonea vibaka siyotupenda
2026-10-04 17:39:13
0
To see more videos from user @innocent_raphael, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Why do guys not ask questions on the first date?  Let’s take a chaotic deep dive into it from a nervous system + attachment system perspective in less than a min 🤠🤠 There are, of course, many more factors at play for when folks struggle to get curious. Other reasons include: ➡️ if he/they came from an authoritarian household that discouraged questions and promoted rule-following ➡️ men are socialized ~to know~ rather than ~to ask~ ➡️ his/their nervous system feels safer in silence, invisibility, or would prefer someone else to step in ➡️ little practice in this area = social skills deficit ➡️ is historically spared of feedback (like receiving praise or a pass when feedback was warranted) ➡️ is caught in a shame-storm 🌪️ ➡️ is actually genuinely disinterested and is congruently signalling disinterest And 9 million other things under the sun because humans are complex. But partnering with someone who has a nervous system that feels safe to YOU and like it can support your heart building a home there, that's what matters. Fight for that bestie, or I'll fight for it for you both when ya'll come into my office. Either way rooting for you!! 🤪🫶🏻 🔹Ps from the fan account: @aurellasz 🔹And to be clear, I don’t know anything about this couple and wish them peace and safety!  🔹Video clip being used to extrapolate overall dating dynamics, not a commentary on this specific couple  #nervoussystemhealing #datingtips #emotionalintelligence #relationshiptips #firstdate

About