@funny.mask4: #baby #babiesoftiktok #fyp

Funny Mask
Funny Mask
Open In TikTok:
Region: GB
Monday 05 October 2026 07:47:59 GMT
81226
5134
105
317

Music

Download

Comments

noemisantillana4
noemisantillana4 :
Luego os quejáis de que os animales son malos ,hay que educar los niños desde pequeños al respeto de los animales no son juguetes
2026-10-05 10:35:31
6
saludketo
Salud con Keto :
No son juguetes ,es como si tuvieras a tu bb de juguete no se dan cuenta ? basta no son chistosos luego si lastiman lo culpan al animalito !!!
2026-10-08 13:57:00
2
mabelguerrero278
usuario444 :
hay qué enseñarles a los niños qué los animales NO SON JUGUETES 🥰🥰🥰
2026-10-13 02:50:49
1
aliyahshane2
Cabrillos Andrea Shane Tiro :
6d8rjduckrljckb3ick
2026-10-13 09:22:26
1
sunsetterbae4
sunsetterbae :
that's not funny how the cat hits on the baby on the floor
2026-10-06 07:43:26
0
crystalchandler776
crystalchandler776 :
🥰
2026-10-05 21:43:24
0
nonhlanhlabuthel0
Gurlino :
2026-10-12 01:31:45
0
mariamsene4
Maria M Sene :
De ses se
2026-10-14 09:16:04
0
fina13392
Touty kharitou yayam🥰🥰 :
C’est C’est C’est Le
2026-10-12 13:10:07
0
juanassis1w345
X :
😂
2026-10-13 15:20:53
0
toktict
toktiCt :
2026-10-11 15:44:39
1
fina13392
Touty kharitou yayam🥰🥰 :
P
2026-10-12 13:10:05
0
muhammadalifbinabuhashim
محمد اليف بن ابو هأشيم :
2026-10-11 10:10:59
0
arelis.josefina.c1
Arelis josefina Castellano :
😂
2026-10-09 12:46:04
0
maricelavillaloboscarran
Maricela Villalobos :
😂😂😂
2026-10-07 15:15:25
0
rosemary.lcia7
Rosemary Lúcia :
2026-10-11 13:41:11
0
rosemary.lcia7
Rosemary Lúcia :
2026-10-11 13:40:49
0
lucilenemarques39
Lucilene Marques392 :
😂
2026-10-05 10:48:13
0
user7914058441592
Nazaré :
2026-10-05 15:09:55
0
guadangeles2017
newbie2021 :
2026-10-05 13:54:22
0
user4469876543
user4468678967 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-10-15 13:32:11
0
tiana.dutra3
Tiana Dutra :
😂
2026-10-05 18:55:37
0
duyguoztk55
Duygu Öztürk :
😁😁😁
2026-10-13 15:22:18
0
roxana.samardich
Roxana Samardich :
😂😂😂
2026-10-13 00:39:30
0
bariqalsaher
bariq :
😁😁😁
2026-10-05 07:53:07
0
To see more videos from user @funny.mask4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

NAMNA GANI YA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA NA KUBAKI KATIKA KUFANIKIWA Ni kweli kuwa watu wengi hufanikiwa lakini sio wote wanaobaki katika mafanikio. Hizi ndizo kanuni saba kutoka kwa Askofu wetu Mkuu wa Kanisa la TAG alizowaachia vijana @iccdodoma wakati wanaendelea na semina yao.!  1. Kuwa na hali ya tafakuri ya Neno la Mungu - Mfanye Mungu kuwa namba moja katika maisha yako. 2. Jua muelekeo wako wa maisha - Uwe na ramani ya maisha yako, maono, mpango wako na ndoto zako uzijue. Ujue unatoka wapi, upo wapi na unaelekea wapi. 3. Uwe na azma, hali ya kuazimia. Uwe na makusudi ya maisha. Ujue kuwa kupata mafanikio katika haya maisha huna budi kuwa na azma na kuwa mtu wa kufanya kazi kwa bidii. Wokovu ni kwa Neema ila kufanikiwa katika maisha unahitaji kuvuja jasho.  4. Uwe na nidhamu ya maisha. Maisha yahusiana na Sheria, kanuni na miongozo. Kila kitu kina sheria na miongozo. Fuata sheria na miongozo.  5. Usiwe mtu wa kuridhika kirahisi. Watu wengi hawafiki mbali kwa sababu wanaridhika kirahisi sana kwa kudhani maisha ni kuwa na nyumba na gari na hivyo hudhani kuwa wamefika mwisho wa safari Yao. Kuna zaidi Mungu anataka uwe navyo katika maisha. Mungu anataka ufike mbali zaidi ya hapo.  6. Uwe mwadilifu. Uwe umenyooka! Kwa vijana, utaoa tu na utaolewa tu, Mungu atakuinua tu! Usipite njia za mkato.  7. Uwe na upendo na kuwatanguliza wengine. Hii wie sheria kwako kuwatanguliza wengine. Utajiri mkuu wa mtu sio pesa, sio elimu, sio majumba na magari bali ni watu wanaokuzunguka. Ukizungukwa na watu wanaomcha Mungu basi utafika mbali, ukitembea na choka mbaya nawe utaishia hivyo hivyo. * Hizi ndizo kanuni kila kijana azifuate na kuzishi na Mungu atamuwezesha. #iccdodoma #seminaYaVijana #kanuniZaMafanikio

About