@user7593075496206: Sequin Backdrop, 24/36 Panels Square Sequin Shimmer, Glitter Photo Backdrop, Party Decorations for Birthday, Wedding, Graduation #PartyDecor #SequinBackdrop #FYP #TikTokMadeMeBuyIt

Personalize Desk
Personalize Desk
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 06 October 2026 06:50:58 GMT
295
0
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @user7593075496206, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Biashara kubwa haipaswi kutegemea uwepo wa owner kila siku.   ​Kuna tofauti kubwa kati ya kumiliki biashara binafsi na kujenga kampuni ambayo inaweza kuendelea hata wewe usipokuwepo.   ​Ukifanya kila kitu kwa jina lako binafsi, mali, mikataba, madeni na hata succession vinaweza kuendelea kukutegemea wewe.   ​Lakini kampuni ni legal entity tofauti.   ​Inaweza kumiliki assets zake.   ​Inaweza kuingia mikataba.   ​Inaweza kuwa na shareholders.   ​Na ownership inaweza kubadilika bila kulazimika kugawagawa kila asset ya biashara.   ​Hii ndiyo sababu baadhi ya kampuni zinaendelea kwa vizazi.   ​Founder anaweza kuondoka.   ​Shareholders wanaweza kubadilika.   ​Lakini kampuni inaendelea.   ​Lakini kuna sehemu nyingine muhimu sana tulizungumza kwenye video hii:   ​@sir_mwasampeta_julius anasisitiza Sio kila biashara inahitaji kusajili kampuni.   ​Kuna biashara ambayo kuanza kama biashara binafsi inaweza kuwa practical zaidi.   ​Kuna nyingine kutokana na size yake, risk, succession, deals, tax structure na mahitaji yake ya kisheria, kampuni inaweza kuwa structure inayofaa zaidi.   ​Tatizo ni pale entrepreneur anachagua structure kwa sababu tu
Biashara kubwa haipaswi kutegemea uwepo wa owner kila siku. ​Kuna tofauti kubwa kati ya kumiliki biashara binafsi na kujenga kampuni ambayo inaweza kuendelea hata wewe usipokuwepo. ​Ukifanya kila kitu kwa jina lako binafsi, mali, mikataba, madeni na hata succession vinaweza kuendelea kukutegemea wewe. ​Lakini kampuni ni legal entity tofauti. ​Inaweza kumiliki assets zake. ​Inaweza kuingia mikataba. ​Inaweza kuwa na shareholders. ​Na ownership inaweza kubadilika bila kulazimika kugawagawa kila asset ya biashara. ​Hii ndiyo sababu baadhi ya kampuni zinaendelea kwa vizazi. ​Founder anaweza kuondoka. ​Shareholders wanaweza kubadilika. ​Lakini kampuni inaendelea. ​Lakini kuna sehemu nyingine muhimu sana tulizungumza kwenye video hii: ​@sir_mwasampeta_julius anasisitiza Sio kila biashara inahitaji kusajili kampuni. ​Kuna biashara ambayo kuanza kama biashara binafsi inaweza kuwa practical zaidi. ​Kuna nyingine kutokana na size yake, risk, succession, deals, tax structure na mahitaji yake ya kisheria, kampuni inaweza kuwa structure inayofaa zaidi. ​Tatizo ni pale entrepreneur anachagua structure kwa sababu tu "kampuni inaonekana professional." ​Biashara nzuri haijengwi kwa appearance. ​Inajengwa kwa systems, structure na maamuzi yanayoendana na biashara unayotaka kujenga. ​Usifikirie tu biashara ya leo. ​Jiulize: ​Biashara hii ikikuwa mara 10, structure niliyonayo leo bado itanibeba? #brela #businessstrategy #corporatelaw #BusinessStrategy #SheriaZaBiashara

About