@_abdulkarim.1: Waislamu elfu 70 watakaoingia peponi bila ya hisaab #muslimtiktok

Bro_Abdul☪️
Bro_Abdul☪️
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 07 October 2026 05:06:12 GMT
33294
6766
98
776

Music

Download

Comments

afrat8600gmail.com
💝Mic Barua :
mimi ntawai kama nlivowai hapa amin
2026-10-07 05:09:14
120
ruqayyah25442
✨💫🌺Baby baby 🌺💫✨ :
Nitakuwa mmoja wao Inshaa Allah 🤲
2026-10-07 07:53:36
52
kizozo_beauty__cosmetics
kizozo cosmetics Zanzibar :
asalam alaykum me kuna clip niliskia hapa kuwa moja wapo ya.sifa ya hawa waja ni pia uwe umezaliwa ukiw kiiongozi plas+ na izo ulizo sema. hii ipoje??
2026-10-07 14:17:05
0
fatuma.yahaya542
Fatuma Yahaya :
Allah aqbar
2026-10-07 12:46:07
0
zamda.omary29
Zamzam :
InshaaAllah ALLAH Atujalie mwisho mwema
2026-10-07 06:27:04
12
neydizo5
NEYNAH💍🥰 :
Shukran ostadh ila kwamfano mtu ywakuuliza bado mpaka sasa hujapata mtoto alafu wamjibu hapana sijapata bado kisha wamwambia niombee kwa Allah je nikosa?
2026-10-07 10:50:44
5
_abdulkarim.1
Bro_Abdul☪️ :
KUFANYIWA RUQYA SIO HARAMU LAKINI KUNASHUSHA RANK YA MTU YA KUINGIA PEPONI
2026-10-07 16:24:47
3
khuzmy_makeup_artist
Khuzmy Makeup And Hair Saloon :
Kwaio hiyo y mwanzo unataka knmbia na wale wanaosomea watu wanaoumwa inakuaje heb niekeweshe kaka angu
2026-10-07 11:43:47
4
zanladytourguide
mamy :
kwaiy haifai kufanyiwa kisomo jmn naomba kujua😳
2026-10-07 16:20:06
1
user6596075093273
user6596075093273 :
allah jaalia niwe miongon mwao na wazazi wang wawil
2026-10-07 16:06:00
1
rismahatun40
ِسْمَةُ هَاتُون :
Kwa mfano mtu ameowa na mke wake anamuomba amuombee ili mamb yake yakawe swa hv anapata dhamb
2026-10-07 10:11:30
3
hasanali.hussen
Hasanali Hussen :
ahsante sana kaka
2026-10-07 06:09:17
4
rehema.apolinary
Rehema Apolinary :
nitakuea mmoja wao inshaa Allah
2026-10-07 08:49:55
4
user36080494874
Swalhab :
SUBHANALAH AMETAKASIKA ALLAH PEKEE YAKE tue miongoni mwao
2026-10-07 09:35:48
4
mama_arwaa
muadsa_elmendhryy :
Allah atujaalie tuwe miongon mwao😭🤲
2026-10-07 10:56:22
2
amir.sap.amir.sap
Amir sap Amir sap :
god god
2026-10-07 17:12:53
0
alzakwan09
Alzakwan :
shukran akhui Allah atujalie tuwe miongoni mwao wa kuingia peponi inshallah 🤲naongezea kitu apo yawezakana dua zko zatakabiliwa zaid kuliko kutumia mtu maana Imani ndo yadaidia
2026-10-07 08:25:04
3
halimahassan118
halimahassan118 :
Allahu Akbar
2026-10-07 07:30:05
1
aisha43521
Aisha :
Allah atujaalie mwisho mwema
2026-10-07 05:52:39
3
shimahty
shimah :
Allah Akbar 🤍
2026-10-07 05:13:09
2
yussufidrissa882
@[email protected] :
assalam alayqum. swala ya adhuhuri na laasiri imamu huwa hasomi kwa sauti, je maamuma unatakiwa usome sura nyengine baada ya suratul fat-ha au unasoma fat-ha peke yake? sura nyengine husoma imamu pekee?
2026-10-07 11:11:54
4
mwakut
Firdaus🥰🥰🥰 :
IshaAllah mungu atup mwisho mwema
2026-10-07 06:44:17
1
samkiddy45
sam~kiddy💫✨️ :
inshaallah Allah atupe mwisho mwemaa🤲🤲🤲
2026-10-07 05:32:07
1
khamisuszarau2
khamisuszarau :
masha allah
2026-10-07 17:25:14
0
mr.aliy879
@mr.ally8791$ :
InshaAllah
2026-10-07 17:27:35
0
To see more videos from user @_abdulkarim.1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About