Mie nilifika saa 2 asubuhi mara ya Kwanza niliqmbiwa nilale mpka nikatoka saa 10 na mara ya pili nilifika alfajiri nikaambiwa nilale waliondoka mpka walirudi cku ya 2
2026-10-07 12:09:39
0
📿pretty 🌺Rahma🧕👑 :
mmi hua najiuriza kama uta kua ujui hiko kiarabu hata kingelenza hujui uta ongea nao vip pleass naomba uni jibu hiri swali dada au yoyo anaye jua🥺🥺