clip ya Shekh Fauzan imekatwa haikuletwa vile ilivo ndugu zangu kueni makini
2026-10-09 07:25:47
10
Osmaan Mo :
umsingizia sheikh. amesema hiyo ni ijtihad ya masahaba. haha maanisha masahaba hawajui. kulingana na hiyo clip wasiojua ni hawa watu wa sasa si masahaba. ukitaka kuelewa ni rahisi na ukitaka kupinga pinga lakini acha kusingizia
2026-10-09 07:22:19
2
ابرار عامر :
sheikh kazuliwa mambo mengi kilichobaki mjiandae mbele kwa Mola wenu ENYI waja
2026-10-09 08:36:01
9
Hassan Muhammed :
zingatia neno (Ijitihada)
ww hujalisema kabisaa
na nn maana ya ijitihada na hukmu yake
2026-10-09 06:39:20
2
fazzo :
shekhe msikileze fauzan amegawanya maswahaba na awamu nas ilikuwa ni ijtihadi yao kwa hiyo haina asli pili na kwasai wanaufanya hivyo niujinga na mtumu hakusema maswahaba wote alisema khulafau arashidun
2026-10-09 11:10:55
1
muhamd gogo tz :
hawa watu sijawahi kuwaelewa kabisa sijui kwann
2026-10-09 04:09:48
0
Ibrahim Abdallah :
japo siwakubal masun lakn kwa hapo kakosea nn kwaiyo maswahaba wao hawakosei. Brother just thinking deep
2026-10-09 20:24:03
1
Bansamir :
Ambacho nimekigundua kwa msemaji ni kukurupukia mambo ambayo hana Elimu nayooo..
kwani kila jambo linafanywa na swahaba ni hoja katika dini yetuuu
Shekh Allah akuhifadhi yupo sahihi.. kweli jambo la kubusu na kuuweka kwenye paji la uso msahafu halina dalili, na matendo yaliyofanywa kwa jitihada za maswahaba, na kwenye jitihada kuna kupatia na kukosea jitihada inatakiwa iendane na dalili (Qur'an na Sunna za Mtume sala nasalamuziwejuuyake), ndio maana akipatia anapata mara 2 Kwa kujitahidi na kuendana na dalili na akikosea anapata mara 1 kwa jitihada yake tuu
so suala la kuubusu msahafu na kuuweka kwenye paji la uso halina dalili, na maswahaba waliofanya walijiatahidi na kukosea juu ya hilo... baadae sisi tunaofanya sasa hivi tunafanya kwa kuto kuwa na elimu juu ya hiloo, coz kuna wanazuoni walishaelekeza juu ya hiloo, na hapo haimaanishi maswahaba hawana akili au ni wajingaa.
2026-10-14 14:51:41
1
ikary :
wew ndo umewatukana sasa
2026-10-11 18:51:24
4
musajamini :
kwahiyo wewe unamzide ilmu shekhe
2026-10-09 16:16:31
0
swaghiiru na jamii :
Yaani fauzan anamaanisha kuwa kuna maswahaba wajinga😂😂
ila wasojua kiarabu wataona kama unawadanganya
ila uwahabi buana😂😂
wakinukuu mashia inaonekana wanadanganya kumbe ndio ukweli😁😁
2026-10-09 05:57:15
1
ABUU IRFAAN NASSOR :
akhy amesema shekh wamefanya katika jitihada zako lakini hakuna dalili juu ya hilo na imetokea ibnu abas aliwaona watu wakileta dhikri kutuma vijiwe na akawambia hili halijathibiti
2026-10-09 08:00:17
1
De Abou92 :
Mwanazuoni akikosea mara moja hukumu yake ni kuwa kapatia mara moja na akipatia hukumu yake kapatia mara mbili tusigawane WAISLAMU
naona hizi sunna mnazidi kuzitegusha, zitsenda kwa matsbihi, mara maulama, mara wanazuoni, mpaka kwa masheikh w a sass hvi. Kwang suna inaishia kwa mtume.
2026-10-09 04:30:42
0
mtawaswifu :
uko sawa Alhabeey
2026-10-09 06:17:56
1
Dr mohd :
sio suala la kumzidi elimu hapa ni maswala ya itiqadi hii
2026-10-15 16:42:45
0
Basuu102@ :
kumbuka mashekh pia wanakosea kwahy ukiona kakosea basi acha, ila usifarakanishe ummah
2026-10-16 19:01:38
0
bakshanbakshaan :
wewe wacha kupotosha yeye kasema hakina dalili sasa wewe leta dalili