Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@sugark51: #schoollife #relateablequotes #relateablequotes #fyppppppppppppppppppppppp #fyppppppppppppppppppppppp
jellyfish
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 08 October 2026 23:39:35 GMT
583
139
0
8
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @sugark51, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#pti_zindabad #foryou #creatorsearchinsights
#tiktokshop1010 #xuhuong #fyp
Shakira veut sa photo. #redouanebougheraba
@Yaa Philippa❤️🥹
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza mpango wa kuondoa matumizi ya kadi za kukwangua za muda wa maongezi ya simu na kuhamia katika mfumo wa kidijitali wa kuongeza salio, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali za kuhamasisha uchumi usiotumia fedha taslimu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TCRA, zoezi la majaribio la kusitisha matumizi ya kadi hizo litaanza Januari 1, 2027, huku shughuli za uhamasishaji kwa umma zikiwa zimeanza Oktoba 1, 2026. Zoezi hilo litafanyika katika mikoa mitano, ambapo Dar es salaam litahusisha Wilaya zote, Dodoma litahusisha Jiji la Dodoma, Chamwino, Kondoa Mjini na Kongwa, huku Arusha likihusisha Jiji la Arusha, Wilaya ya Arusha, Meru na Karatu. Kwa upande wa Mwanza, zoezi litahusisha Nyamagana, Ilemela na Misungwi, wakati Mkoa wa Mbeya litafanyika katika Jiji la Mbeya, Wilaya ya Mbeya na Mbarali. TCRA imesema mpango huo unalenga kuongeza matumizi ya huduma za kifedha za kidijitali, kurahisisha ununuzi wa muda wa maongezi pamoja na kupunguza uzalishaji, usambazaji na utupaji wa kadi za kukwangua ambazo zina athari kwa mazingira. #millardayo #millardayoupdates #ayotv #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy